powercert_Tz
Member
- Jul 19, 2022
- 45
- 44
#mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliojenga hicho kituo, hawakujali abiria juu ya jua na mvua...
Kituo bado hakija kamilika mkuuWaliojenga hicho kituo, hawakujali abiria juu ya jua na mvua...
Tunalipa bei gani kwa mkandarasi
Huko joto tupu, njoo Goba ufurahie kipupweKinyerezi pazuri sana ni sehemu ya ndoto yangu kuishi uko
Jua na mvua vitakuwa sehemu ya abiria wa hizo daladala pia?
Nadhan inakosa good planning mkuuJua na mvua vitakuwa sehemu ya abiria wa hizo daladala pia?
Moundombinu mizuri inakosa poor plannings
Choo kipo mkuuTukumbuke hakina choo na hakina mahala pa kujikinga jua wala mvua na kishaanza kutumika.
Kwahiyo vituo vya daladala navyo anajenga Rais ! hii nchi basi tena !
Yes wana idea nzuri lakini hawamalizii iwe kwa matumizi ya binadamu.Nadhan inakosa good planning mkuu
Utachelewa sana kuelewa, tafuta mdogo wako au mtoto wa jirani anaesoma sekondari akufundishe.Kwahiyo vituo vya daladala navyo anajenga Rais ! hii nchi basi tena !
Dah sjawahi kupaelewa knyerez kwa kweli,, labda kwa kuwa sjawahi ishi hapoKinyerezi pazuri sana ni sehemu ya ndoto yangu kuishi uko
Goba naonaga imekaa kama tabata, napo sjawahi kupaelewaHuko joto tupu, njoo Goba ufurahie kipupwe