Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

Hata wangewajali ingekuwa kazi Bure,maana machinga huwa wanavamia mpaka inakuwa Haina maana Kwa abiria

Suala la wapanga bidhaa chini ni uzembe katika usimamizi tu maana hadi pembeni ya barabara jamaa wanavamia, haiwezi ikawa ni kisingizio...
 
Waliojenga hicho kituo, hawakujali abiria juu ya jua na mvua...
Ila hii nchi ina watu wa kulaumulaumu tu aisee, dah!!!
Ina maana mtu haoni hapo kuwa wapo katika ukenzi na si kwamba mradi umekamilika?!!!!! Makumi ya 'likes' yamenishangaza zaidi.......kwanini nisishangae wakati wao ni wanz jf, ni great thinkers?!!!
 
Utachelewa sana kuelewa, tafuta mdogo wako au mtoto wa jirani anaesoma sekondari akufundishe.
Muombe akufafanulie uhusiano kati ya maendeleo ya nchi na uhusika wa Rais katika maendeleo hayo.
yaani hivi vituo vya daladala vya huko porini ndio maendeleo ya nchi ? au ndio maana viongozi wanazindua vyoo vya stendi eee !!
 
Makosa kama kituo Cha magufuli...hakuna sehemu za kuoumzukia abiria..sijui wanajitoaga kufahamu hawa engineers
 
Kinyerezi pazuri sana ni sehemu ya ndoto yangu kuishi uko
Tembea kidogo mkuu huenda ukabadilisha mawazo, tembea maeneo ya Madale, anzia njia nne kuelekea Wazo, nadhani utabadilisha mawazo ya mapenzi ya sehemu ya kujenga. Sema uwe na mpunga manake maeneo yanauzwa ghali sana.
 
Ndio maana tunataka wilaya ya Ilala igawanywe. Fedha za maendeleo ya wilaya zikipatikana, zinaishia Posta, Upanga na Kariakoo. Wakijitahidi sana watasogea Segerea.
Mara tutapopata wilaya yetu ya Chanika, pesa za maendeleo ya wilaya zitatumika kuendeleza wilaya ya Chanika kwa asilimia mia.
Sasa hivi attention iko huku mjini mjini. Huku pembezoni tunasahaulika.
Nimefika huko karibuni nimeona maendeleo makubwa, serekali IIWEKEE LAMI BARABARA YA MVUTI-DONDWE STAND. NI ENEO LINALOKUJA KUWA MOTO SANA,VERY SOON, UKIZINGATIA CHANIKA IMESHAVURUGIKA NA IKO KIHOLELA NASHAURI (KIPANDE CHA MVUTI-DONDWE, VIWANJA VYAKE VIANZIE SQM 600 VYENYE BARABARA PANA.
Bemendazole piganeni mtafanikiwa.
 
😅😅😅 Kweli ni sehemu nzuri kuishi hata Mimi nilikuwa napapenda lkn kwa yaliyonitokea huko hata nikipita nasisimka na moyo unakimbia na kujihisi fedheha sana. Pambana viwanja bado vipo utavikuta
Yamekukuta yepi? Masela wamebinuwa tips?
 
Nimefika huko karibuni nimeona maendeleo makubwa, serekali IIWEKEE LAMI BARABARA YA MVUTI-DONDWE STAND. NI ENEO LINALOKUJA KUWA MOTO SANA,VERY SOON, UKIZINGATIA CHANIKA IMESHAVURUGIKA NA IKO KIHOLELA NASHAURI (KIPANDE CHA MVUTI-DONDWE, VIWANJA VYAKE VIANZIE SQM 600 VYENYE BARABARA PANA.
Bemendazole piganeni mtafanikiwa.
Yeah. Ila bora wamalizie kwanza lami kile kipande cha Msongola kuelekea Mbagala.
 
Tembea kidogo mkuu huenda ukabadilisha mawazo, tembea maeneo ya Madale, anzia njia nne kuelekea Wazo, nadhani utabadilisha mawazo ya mapenzi ya sehemu ya kujenga. Sema uwe na mpunga manake maeneo yanauzwa ghali sana.

Huko nako nakukubali sana sana goba
 
Back
Top Bottom