Akili Kaka. Hapo wamekaa madiwani, mainjinia wote wakaona Mambo mswano.Waliojenga hicho kituo, hawakujali abiria juu ya jua na mvua...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili Kaka. Hapo wamekaa madiwani, mainjinia wote wakaona Mambo mswano.Waliojenga hicho kituo, hawakujali abiria juu ya jua na mvua...
Wametangaza kimeisha!?..au kelele tu Kama vifaranga!?Akili Kaka. Hapo wamekaa madiwani, mainjinia wote wakaona Mambo mswano.
Wewe utakua diwani wa CCM au VODAFASTA injinia.Wametangaza kimeisha!?..au kelele tu Kama vifaranga!?
Kwani ungemwambia tu 'hakijaisha' ungepungukiwa niniHakijaisha mbuzi wewe
Wanarukia hitimisho bila kusaka taarifa rasmi na kutweza utu wa watendaji kwamba hawafikiri vizuri,wanastahiki kuitwa mbuzi... it'll sink in betterKwani ungemwambia tu 'hakijaisha' ungepungukiwa nini
yeah kuzuri sana huwezi tegemea kama ukisikia tu jina lakeKinyerezi pazuri sana ni sehemu ya ndoto yangu kuishi uko
Ndio basi au kinaendelea kujengwa?
KWa upande wa msingwa au wapi mkuu?Labda usogee mbele mpaka bonyokwa kule
Pazuri na kuna classes karibu zote za watuPazuri sana af sio pa kiswahili ushuani sana
Hata wangewajali ingekuwa kazi Bure,maana machinga huwa wanavamia mpaka inakuwa Haina maana Kwa abiriaWaliojenga hicho kituo, hawakujali abiria juu ya jua na mvua...
Kinyerezi na Goba kunafananaHuko joto tupu, njoo Goba ufurahie kipupwe
Makofia maeneo bado yapo, sema dau sasa ndio linaweza likawa tatizo. So vibaya ukianza ukifuatilia mkuuKWa upande wa msingwa au wapi mkuu?
Japo maeneo ya mbele mpaka mwanzo mgumu. Makofia. Kisunguu hawez kosa eneo sema hela ndo inaweza gomba
Goba ni chimbo la vibaka na panya road acha kudanganya watu.Goba tatizo ardhi yake mabonde mabonde Ila ushua mwingi
Baada ya mafanikio ya kujenga vituo vya daladala kwa kutumia mamia ya mamilioni ya shilingi katika sehemu kadhaa za jiji la Dar ea Salaam . Swali kuu ni :
JIJI LA DAR ES SALAAM WANA UBAVU WA KUSITISHA USAJILI MPYA WA BAJAJ?
Ni wakati wa madiwani kupitisha azimio kuratibu bajaji na bodaboda ili fedha zilizojenga vituo vya daladala jijini Dar es Salaam zisipotee bure.
Madiwani wa jiji la Mbeya wameweza kufanya maamuzi magumu kudhibiti bajaji na sasa hawa madiwani wa Dar es Salaam jiji kubwa kabisa katika Afrika ya Mashariki nao wachukue uamuzi haraka.
TOKA MAKTABA:
JIJI LA MBEYA WAPIGA MARUFUKU USAJILI WA BAJAJI MPYA
Baraza la Madiwani wa jijji la nyanda za juu kusini la Mbeya waelezea changamoto na kero ya wingi wa bajaj hadi kutapika na kusababisha vurugu, kuegesha bila tahadhari, ajali n.k hivyo kuna umuhimu wa kuratibu idadi ya bajaj ilingane na mahitaji halisi ya jiji.
Upatikanaji wa maji ya visima chini yapo? Hilo mimi ndio kipengele cha 1 kupenda siteKinyerezi pazuri sana ni sehemu ya ndoto yangu kuishi uko
Gari zinapotokea kule ndiyo kimejengwaWap mkuu.au mie mgeni nn?
Pazuri na kuna classes karibu zote za watu
Upatikanaji wa maji ya visima chini yapo? Hilo mimi ndio kipengele cha 1 kupenda site
Hiyo muhimu, sio unapenda sehemu, uhai wa maji utegemee ya Ruvu, mvua zikikata ni kutafutana![emoji23][emoji23][emoji23] sijui nenda kafanye utafit