Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

Ndio maana tunataka wilaya ya Ilala igawanywe. Fedha za maendeleo ya wilaya zikipatikana, zinaishia Posta, Upanga na Kariakoo. Wakijitahidi sana watasogea Segerea.
Mara tutapopata wilaya yetu ya Chanika, pesa za maendeleo ya wilaya zitatumika kuendeleza wilaya ya Chanika kwa asilimia mia.
Sasa hivi attention iko huku mjini mjini. Huku pembezoni tunasahaulika.
 
Ndo maana mfumo mzima unamtreat mwananchi kama adui wao namba moja.

Endapo raia wangekuwa kipaumbele tungekuwa na mfumo mzuri wa moundombinu inayotoa unafuu kwa wananchi au hata huduma zinazotolewa na agencies wa serikali zingekuwa na viwango.

Nenda pale fery yale mabanda ya kusubiria abiria hayana safety plans. Hayana evacuation plan endapo dharura inatokea.

Nenda mwendokasi. Serikali inachojua ni kupandisha gharama za nauli wakati yenyewe ndo chanzo cha inflation na hata uongezekaji wa nauli huo haujabadilisha huduma mbovu ya mabasi ya mwendokasi hivyo inaleta ukakasi mbaya.

TANAPA tuwape kongole
 
Back
Top Bottom