Muonekano wa msanii Maua Sama wazua gumzo, mimba iheshimiwe, Wema ana mwili mzuri hata akunenepa uso

Muonekano wa msanii Maua Sama wazua gumzo, mimba iheshimiwe, Wema ana mwili mzuri hata akunenepa uso

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Ukimuona Maua Sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee.

Maua na Zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali Wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.

Screenshot_20260831-152323.jpg

Screenshot_20260831-152127.jpg
 
Ukimuona maua sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee.

Maua na zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.
Ushawahi mpa mwanamke mimba?
Ile ya Wema na wewe ume amini ile drama?
 
Hakuna mwanamke mbabe aisee, nani kamdunga huyu msanii? Nilijuaga mastaa hawadungiki
 
Back
Top Bottom