Muonekano wa msanii Maua Sama wazua gumzo, mimba iheshimiwe, Wema ana mwili mzuri hata akunenepa uso

Muonekano wa msanii Maua Sama wazua gumzo, mimba iheshimiwe, Wema ana mwili mzuri hata akunenepa uso

Kuwa hivo na yeye kapenda,
Mimba kikawaida lazima ibadili tabia ya mwili,
Kula vizuri kipindi cha ujauzito ni maamuzi pia wakati mwingne.

Maua sama mzuri kuliko wema sepenga
 
Hongera aliyegundua makeup,ila wanawake kwakweli ifike mahali mtuonee huruma wakati mwingine,yani unakula makeup mpaka unaonekana kama mrundi kumbe mtanzania,tena wa tandale ndani ndani kabisa huko...
 
Tumbo kua kubwa sio mabadiliko? Kama alikatika nywele utajuaje?
Labda alikosa hamu ya tendo la ndoa je?
Kuna tumbo za plastic.

Mimba zinakuja na mabadiliko mengi.
Kwakweli mm sijawah muona Mwanamke mwenye Mimba alafu akawa anajiremba kama alivyokuwa anafanya wema.

Mimba ile hatujaona photoshot za tumbo wazi akionesha kitovu chake.
kama za Zuchu na mastaa wengne.

Huu ulakini kwanini yeye tu?.
 
Sijaelewa hapo hoja yako ni ipi?
Kujiremba? Kupiga picha tumbo wazi?
 
Kwani mtoto anayeletwa na Maua sama ndo huyo aliyeletwa na Wema Sepetu mpaka mabadiliko yao ya mwili yawe yanafanana?
Watu ambacho wanashindwa kujua,ni kwamba Kila mtu anatofauti katika mimba.Binafsi nkiwa mjamzito hakuna sehemu yoyote ya mwili wangu inayovimba zaidi ya tumbo.Sipati alama yoyote usoni kiasi kwamba ningekua mtu famous nako mimba yangu ingeanzishiwa debates 😀😀
 
Kwani mtoto anayeletwa na Maua sama ndo huyo aliyeletwa na Wema Sepetu mpaka mabadiliko yao ya mwili yawe yanafanana?
Watu wanataka pua mvimbo....
Ahahhaha ila mimba lazima ujikatae..😅😅😅
 
Nimetoka kusimamia mtihan now, niwape taarifa wenye elimu haba

Hiyo ni preeclampsia nasio kila mwanamke anapata na sio kitu cha kujisifia maana ikichachamaa unadead

Da Pipi Nishushe
 
Inategemea na mimba iilivokujia !! Bora unenepe kuliko kushoia/ kukonda asee mimba zina visanga vyake.

Atajifungua mtoto wakike

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom