The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
JF ina mambo mengi sana aisee,
Kumbe kuna watu wanafuatilia mpaka mimba za wanawake?
Tena wanakua na full information zote kabisa kua Mwanamke fulani alipokua na mimba alikua hivi ila Mwanamke fulani alipokua na mimba alikua vile!