Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Ushawahi mpa mwanamke mimba?Ukimuona maua sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee.
Maua na zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.
Mbona zuchu nae alivimba usoKwani mtoto anayeletwa na Maua sama ndo huyo aliyeletwa na Wema Sepetu mpaka mabadiliko yao ya mwili yawe yanafanana?
Wema alikua Hadi anaruka ruka dah, ana mwili mzuri aseeUshawahi mpa mwanamke mimba?
Ile ya Wema na wewe ume amini ile drama?
Waliopata mimba ni hao watatu tu?Mbona zuchu nae alivimba uso
Sijaelewa unacho bisha Nini mabadiliko ya mwili Huwa yapo inaweza kua miguu au kingine, sijui unabisha Nini Binti,Waliopata mimba ni hao watatu tu?
Kumbe unajua mabadiliko lazima yawepo lakini yanatofautiana kati ya mtu na mtu.Sijaelewa unacho bisha Nini mabadiliko ya mwili Huwa yapo inaweza kua miguu au kingine, sijui unabisha Nini Binti,
Haya niambie mabadiliko ya wema yalikua wapi?Kumbe unajua mabadiliko lazima yawepo lakini yanatofautiana kati ya mtu na mtu.
Sio lazima wote wavimbe uso
Tumbo kua kubwa sio mabadiliko? Kama alikatika nywele utajuaje?Haya niambie mabadiliko ya wema yalikua wapi?
Ukimuona maua sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee.
Maua na zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.
Huyu ni maua sama au maua mama 🤔Ukimuona Maua Sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee.
Maua na Zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali Wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.
Kangatwa na nyuki na si mimba.Ukimuona Maua Sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee.
Maua na Zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali Wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.