Utasikia βmademu wazuri hawatuliiβ me mwenyewe sijatulia..lol
Mbaga Jr ukisoma hapa unaelewa?Kuna vitu ukiwa navyo ni kama natural lubricant, inarahisisha mambo sana. unajikuta unapata nafasi ambazo wengine wanaodhani akili nyingi wameshindwa. pia watu wanakushobokea sana na kila mtu anataka awe rafiki yako tena muwe wote kwenye watu wengi/ public.
Nashukuru watoto wangu wamechukua uzuri wangu pia, watu wanawapenda sana, am so proud. cha ajabu watu wenye sura personal wanakaza kichwa kuona labda huu sio uhalisia.
Hongera kwa kujifungua salama, ama kweli sayansi imefika level za mbeleeeeeeee mpaka michicha mwiba inajifunguaNashukuru watoto wangu wamechukua uzuri wangu pia
Hii comment imenichekesha sana, sijui hii misemo mnatoa wapi.Dafu halina maji
Oya huyu ni wewe?
Kuna ile shamba halina mazao πHii comment imenichekesha sana, sijui hii misemo mnatoa wapi.
Utachezea mbataPumbu unaleta mwenyewe ama tuzifuate. Mods msifute comment yangu wala kunipiga ban. Nika sukari ya kushuka.
Vijana ukiwakalia vibaya tu wanakupa msemo wakoKuna ile shamba halina mazao π
Mkuu ahsante kwa kuendelea kupamba viunga vya Jf kwa picha za totoz
Mau yetu haya mazuri mazuri yenye harufu nzuriMkuu ahsante kwa kuendelea kupamba viunga vya Jf kwa picha za totoz
Unamkosea heshima braza kumuita kimahaba hivoπππ ila haszu jamanii, uwiiih.