Muonekano wangu ndio tatizo

Walishaenda wa kutosha, sema watu kama Hawa wanakuaga smart sana kwenye kuchagua victims wao. Hawakurupuki
[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kuna mmoja aliyakanyaga mambo hayo hayo ya kudandia wana Jf, basi akapigwa na kitu kizito lengo lake lilikua afanye siri akakuta file limemwagwa πŸ₯²

Hadi leo amekua mpoleeee mbwembwe zote zimemuisha na sio muda atabadili ID
 
Hahahahaa mbona wengi sana humu? Wenye wakishindwa ndio wanayatoa hadharani, wengine wanaamua kufa na tai shingoni!
 
Bora tu hukupewa kazi. Chukulia huyu kasoma unadishi wa habari ila hata kuandika vizuri hawezi.
 
Wengi mbona wana shepu nzuri sana, yale masuruali yao makubwa yanaficha mengi ila wakivua weeh watekeee ngozi lainiii, chuchu konzi [emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ukubwa wa suruali haufichi chochote....macho ya mwanaume yanaona hadi ndani πŸ˜‚ imagination yetu haina mipaka....sijawahi ona tomboy mwenye shape mimi...
 
Badili mtazamo wako kwa faida ya biashara yako.
 
Badili muonekano wako na lifestyle yako kwa faida ya biashara yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…