Muonekano wangu ndio tatizo

Muonekano wangu ndio tatizo

Walishaenda wa kutosha, sema watu kama Hawa wanakuaga smart sana kwenye kuchagua victims wao. Hawakurupuki
[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kuna mmoja aliyakanyaga mambo hayo hayo ya kudandia wana Jf, basi akapigwa na kitu kizito lengo lake lilikua afanye siri akakuta file limemwagwa 🥲

Hadi leo amekua mpoleeee mbwembwe zote zimemuisha na sio muda atabadili ID
 
Hahahahaa mbona wengi sana humu? Wenye wakishindwa ndio wanayatoa hadharani, wengine wanaamua kufa na tai shingoni!
 
Jamii forum ni sehemu sahihi ya kupata ushauri,samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.

Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code,nina diploma ya uhandishi wa habari nilisomea chuo x mwaka 2019,now napiga harakati za kuuza nguo za mitumba za kike, biashara hii imenikutanisha na rafiki wengi wa kike wengine tupo closed Sana Kuna time tunatembelea.

Najielezea Mimi kimuonekano Niko na character za kitomboy jinsi navyovaa na baadhi ya maisha yangu kwa ujumla Ila ni mwanamke mzuri tu.

Shida natishiwa Sana mtaani na wanaume eti Nina tabia ya usagaji niachane wake zao wakati sio kweri urafiki wangu upo kibiashara imefanya mpaka biashara yangu haiendi vizuri,tatizo muonekano wangu na lifestyle yangu.

Wana Jamii forum naomba mnipe majibu yenye staha na mazuri
Bora tu hukupewa kazi. Chukulia huyu kasoma unadishi wa habari ila hata kuandika vizuri hawezi.
 
Wengi mbona wana shepu nzuri sana, yale masuruali yao makubwa yanaficha mengi ila wakivua weeh watekeee ngozi lainiii, chuchu konzi [emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ukubwa wa suruali haufichi chochote....macho ya mwanaume yanaona hadi ndani 😂 imagination yetu haina mipaka....sijawahi ona tomboy mwenye shape mimi...
 
Jamii forum ni sehemu sahihi ya kupata ushauri,samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.

Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code,nina diploma ya uhandishi wa habari nilisomea chuo x mwaka 2019,now napiga harakati za kuuza nguo za mitumba za kike, biashara hii imenikutanisha na rafiki wengi wa kike wengine tupo closed Sana Kuna time tunatembelea.

Najielezea Mimi kimuonekano Niko na character za kitomboy jinsi navyovaa na baadhi ya maisha yangu kwa ujumla Ila ni mwanamke mzuri tu.

Shida natishiwa Sana mtaani na wanaume eti Nina tabia ya usagaji niachane wake zao wakati sio kweri urafiki wangu upo kibiashara imefanya mpaka biashara yangu haiendi vizuri,tatizo muonekano wangu na lifestyle yangu.

Wana Jamii forum naomba mnipe majibu yenye staha na mazuri
Badili mtazamo wako kwa faida ya biashara yako.
 
Badili muonekano wako na lifestyle yako kwa faida ya biashara yako.
 
Back
Top Bottom