MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

Halafu Mkuu baada ya kulinunua gari ukitaka finishing zngne Na kubadilisha oil au muzik Na mengne meng nenda pale Alamain kule Kariakoo shule ile ya kislanu kuna vjana Wa shaa shaa mpaka utapenda finishing pesa yako tu
 
Halafu Mkuu baada ya kulinunua gari ukitaka finishing zngne Na kubadilisha oil au muzik Na mengne meng nenda pale Alamain kule Kariakoo shule ile ya kislanu kuna vjana Wa shaa shaa mpaka utapenda finishing pesa yako tu
Van dick hawa wapo kila kona ya mji wapo wazuri na makanjanja pia wapo
 
Last edited by a moderator:
asante Sana mkuu kwa ushauri, madalali ni watu wabaya Sana wanajali mijitumbo yao tu
 

December 2015 or typing error
 
Katika mambo yote uliyoandika la kweli na la maana ni kutoangalia namba.
Kuhusu udalali nakutafuta gari kwa rafiki au unaefanyanae kazi ni kazi bure.
Sikuhizi kila myu ni dalali kila mahali hadi ikulu
 

Aiseee hii ni gari brand new ama used? Bht mbaya mm si mwenyeji Dar! Nimependa endeavour zako towards carina
 
uko sahihi mkuu. ila sometimes bajeti inabana inabidi 'umvue' mtu hapa hapa mjini.....ukilenga unatoka na kitu cha uhakika,just be patient....kuna watu wanauza magari kwasababu ya shida mbalimbali.

Kwa hiyo unafurahia ununue kitu kwa mwenye shida?
Ikiwa ndio ww utajisikiaje?

Kama vipi msaidie shida zake na hicho unachokitafuta kwa urahisi umwachie.

Leo kwake kesho kwako.
 

Haya yote unayoyasema ndio mtoa post kayaeleza...we umetumia slogans nyingine tu, mbona watu mnapenda kujichosha!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unafurahia ununue kitu kwa mwenye shida?
Ikiwa ndio ww utajisikiaje?

Kama vipi msaidie shida zake na hicho unachokitafuta kwa urahisi umwachie.

Leo kwake kesho kwako.


Mkuu ujuaji mwingine unaonekana boya! Ni hivi juzi juzi nimenunua gari kwa MTU,Kama kawaida nikamuuliza kwanini unauza? Akasema anashida ya hela ya kumalizia nyumba yake! Simjui hanijui nimeunganishwa na rafiki yake, kwa hii comment yako ulitegemea nimsaidie hio 8m ya kumalizia nyumba yake?!!
 

Dah nimeipenda post yako mkuu, laiti kama kwa kila jambo tungekuwa tunamshirikisha Mungu tungekuwa hatujuti hata mara moja.
 

Hahaha..!
 
Hivi wakuu nimegundua magari mengi yanayouzwa katika mitandao ya hapa Bongo km Kupatana ni Rav 4 Killtime ACA21 zenye injini Vvti,je zina kasoro yoyote?
 

ha ha ha
 
Karibu tuwasiliane kuhusu kuagiza magari japan, dubai na S.A.
Vilevile ukihitaji gari second hand ya Tanzania hapa

Nahitaji ila cc chini ya 800, I dont care 3rd hand ama 4th hand ili mradi iwe na hali nzuri na sio ziaid ya m4.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…