MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

Hilo linafanyika sana! Lakini mileage nyingi sio issue as long as gari limehudumiwa vizuri! Wengi wanauziwa magari mabovu kwa kuangalia low mileage,kuna vitu vingi vya kuangalia zaidi ya odometer readings.
Mkuu je ukikuta gari showroom mileage inasoma 162,310. Je hii si inamaanisha imesha tembea sana na pengine ishaanza kuchoka? Au ikoje hapo!
 
Mkuu je ukikuta gari showroom mileage inasoma 162,310. Je hii si inamaanisha imesha tembea sana na pengine ishaanza kuchoka? Au ikoje hapo!
Nenda na fundi wako aikague. Inaweza kuwa high mileage lakini well maintained. Nina gari sasa hivi ina 218,000km na iko vizuri inaenda popote muda wowote.

Wauzaji wanashusha kms kwasababu wanajua akili ya wateja wakiona few kms wanajua ni gari nzuri and vice versa.
 
Prondo hapo kwenye rangi mmh, mm niliponunua gari miaka kadhaa toka Jpn niliona lina little scratch nikaona aaghr nipige rangi lote. Rangi ilikua ni zellallic black, ilinigharim karibu 1.3m. Sio kila mpiga rangi anakua amegongwa
 
Nashukuru mkuu kwa majibu. Wiki mbili zilizopita nilitembelea showroom 1 nikakuta aina ya gari niliyokuwa naihitaji ina km. 162,310. Nikadhani huu ushakuwa mkweche. Ila mmiliki wa yard aliniambia yeye hana tabia ya kushusha kilomita. Zipo kama alivyoiagiza toka japan.
Ngoja nimtafute fundi mzuri tukaangalie naye tuone inakuaje.
 
Prondo hapo kwenye rangi mmh, mm niliponunua gari miaka kadhaa toka Jpn niliona lina little scratch nikaona aaghr nipige rangi lote. Rangi ilikua ni zellallic black, ilinigharim karibu 1.3m. Sio kila mpiga rangi anakua amegongwa
Sio lazima iwe imegongwa. Quality ya rangi aliyopiga huwezi kuijua. Unaweza kushangaa baada ya mwezi linafubaa,rangi inapauka au inakauka na kukatikakatika.
 
Good
 
Karibu tuwasiliane kuhusu kuagiza magari japan, dubai na S.A.
Vilevile ukihitaji gari second hand ya Tanzania hapa
Mkuu nahitaji Gari iliotumika hapa Tanzania kwa Mtu...sio yard.
Toyota Runx,Passo au Fun cargo,nina 4m Mkuu.
 
Sio lazima iwe imegongwa. Quality ya rangi aliyopiga huwezi kuijua. Unaweza kushangaa baada ya mwezi linafubaa,rangi inapauka au inakauka na kukatikakatika.
Mkuu Brondo ninahitaji gari aina ya
Toyota Runx,Passo,Funcargo nina 4m Mkuu
sio yard,kwa mtu unaemjua hapa Tanzania,Then taratibu za manunuzi zote tunafuata..katika kujiridhisha.
AM VERY SERIOUS ON THIS KAKA....
 
Bajeti yako naona nyembamba kidogo hio ni bei ya gx100 mkuu.
 
PRONDO umeelezea vizuri sana hizo caution ambazo ni muhimu sana, naomba niongeze moja, hakikisha unapata documents zote (Kitabu) zilizoleta hiyo gari toka e.g ...Japan, kuna jamaa yangu kalizwa pamoja na kadi kuonyesha kuwa ni halisi kumbe watu wa TRA wamechonga na ku issue document fake ambayo inaonekana kwenye database yao kama ni genuine...ogopa sana sasa hivi vijana wana njaa mbaya
 
Bajeti yako naona nyembamba kidogo hio ni bei ya gx100 mkuu.
Nitaongeza hata 1 iwe 5m Mkuu.
maanake itabidi hata nikope hali tata kaka...
G100 CC zake sitoweza kumudu, passo,funcargo na Runx kaka...
 
Nakapendaga xana kastarlet mkuu,hamna m2 anaweza nibadilisha
 
unawapataje hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…