Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

Tafuta LENOVO ila ingekuwa vyema ukasema mahitaji yako ili ushauliwe vyema! Maana, kila hitaji latengeme uwezo wa mashine husika na si ku under/over use
 
ymolel hii laptop nitaipata kwa bei gani mkuu

Zipo zenye specs tofauti tofauti zikiwemo celeron dual 1017U, Core i3,Core i5,Core i7, Pentium dual core.


  • kwa celeron 1017U dual core, 4Gb Ram, 500HDD ni Tshs 540,000 hadi Tsh520,000
  • kwa Pentium dual core,2GB hadi 4GB RAM , 500HDD ni Tshs 580,000 hadi 540,000
zote zina bluetooth, wifi,webcam,dvdwriter, 15.6" display intel HD 4000,USB3.0 & 2.0 Ports.

Duka: Sound and vision arusha

sijaulizia kwa hizo za core i 3, i5, na i7 ingawa pia zipo
 

mkuu kumbe bei yake ndogo au si brand?
 
mkuu kumbe bei yake ndogo au si brand?

kaka Sound and vision wanauza Vitu Brand new peke yake.

1. kuna lenovo za celeron hadi TSHS 499,000/=
2.Toshiba C50 TSHS 515,000/=
3. pia flash disk wanazo original kwa bei nzuri,
4. HDD external transcend 1TB tshs 180,000, WD 1TB 165,000/=

Warranty 1 year, items are fully boxed
 
mkuu naona kila mtu huku ndani anakushauri kutokana na pc anayoitumia.. ushauri wangu kwanza angalia matumizi yako ni yapi.. je wewe ni gamer au ordinary user..
kama ni gamer pesa yako haitotosha kwani pc ya kawaida kwa bei hiyo haiwezi run hata games unazohitaji kama battlefield assasins creed and others kama hizo... kinachonifanya nikuulize mahitaji ni kwasababu ya point ya mtu mmoja humu ndani kuongelea overheating..
hakuna pc inayoweza kuoverheat ukiwa unabrowse na kustream unless its used au broken...
binafsi natumia HP TS15 AMD10 its a monster in all sectors sio gamin an all na ni alminium body so ts durable sana.. kwa wanaoiponda hp hebu waingia kuangalia high trending pc ( siitetei coz mimi naangalia perfomance sio brand)
kwahiyo mkuu angalia mahitaji yako ndio utakapojua pc unayoitaka ni ya aina gani..
muhimu kuzingatia
  • chagua kuanzia core i3 kwenda mbele
  • kama ni celeron basi iwe 4th generation processor
  • ram 4 gb kuendelea
  • resolution nzuri yenye uwezo wa 1080p kuendelea maana sasa ulimwengu upo kwenye 4k
huo ni ushauri wangu kama mdau
 
Nategemea kwenda dukani kununua laptop.Wanajf nisaidieni vitu vya kuzingatia ili nisiuziwe mbuzi kwenye gunia kwani hii ni mara yangu ya kwanza kutafuta laptop
 
Namimi nasubiri majibu maana nna mpango kama wako.
 
Angalia vitu unavyohitaji. Kwani hilo wazo la kununua laptop ni sisi tumekupa? Ulikotoa wazo la hitaji la laptop chukua huko unataka iweje sio uje hapa upangiwe.
 
Nataka kununua laptop nizingatie vitu gani?Msaada wadau


asante sana kwa elimu nzuri!2po wengi 2cyo jua vzr hayo mmb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…