Imeisha hiyooZipo LG TV ambazo watu wanatumia replacement ya monitor Sema bei zake ndefu sana kwa mtanzania wa Kawaida ku Afford, zinakuwa ni CX series.
Kwa TV za kawaida angalau iwe full HD ku enjoy ile clarity ya monitor. Hivyo Hakikisha hata kama ni Inch 32 hio TV iwe ni Full HD.
Kuhusu rangi hio ni part ya Color profile, wa naandika kwenye specs na pia unaweza uka calibrate mwenyewe baadae.
Mkuu me kuna jamaa angu hapa ana samsung tv ina hdr aiseee yhn mpk naitaman anatumia kama monitor anapata picha nzur sana aseeZipo LG TV ambazo watu wanatumia replacement ya monitor Sema bei zake ndefu sana kwa mtanzania wa Kawaida ku Afford, zinakuwa ni CX series.
Kwa TV za kawaida angalau iwe full HD ku enjoy ile clarity ya monitor. Hivyo Hakikisha hata kama ni Inch 32 hio TV iwe ni Full HD.
Kuhusu rangi hio ni part ya Color profile, wa naandika kwenye specs na pia unaweza uka calibrate mwenyewe baadae.
HDR 10 hio ama Dolby vision, kuna Dolby vision moja niliona kwenye Samsung TV even Oled ya LG imepitwa.Mkuu me kuna jamaa angu hapa ana samsung tv ina hdr aiseee yhn mpk naitaman anatumia kama monitor anapata picha nzur sana asee
Ni kweli mkuu lakini inabidi upate Response rate ya 10millsecond au ata 20 ndo zinafanya poa kwa watu wa gaming.Mkuu me kuna jamaa angu hapa ana samsung tv ina hdr aiseee yhn mpk naitaman anatumia kama monitor anapata picha nzur sana asee
Refresh rate, kwa games kama za fps monitor ikiwa 120hz ama 144hz ule mshale wa mouse unakuwa smooth unalenga kirahisi zaidi.Ni kweli mkuu lakini inabidi upate Response rate ya 10millsecond au ata 20 ndo zinafanya poa kwa watu wa gaming.
Pia kuna kitu kina SI units ya GHz sijui ni nini ila wanasema inabidi iwe ni zaidi ya 60ghz ndo kwa gaming inakua poa.
Thanks ChiefRefresh rate, kwa games kama za fps monitor ikiwa 120hz ama 144hz ule mshale wa mouse unakuwa smooth unalenga kirahisi zaidi.
Monitor za gaming zina quality mbovu lakini, zimejaa kibao machinga, MI nimenunua Aoc moja hapa 144hz kwa laki 2 tu, Sema rangi mchele mchele,Thanks Chief
Changamoto ni bei tuu
Mkuu ina nchi ngapi hiyo? Maana na mimi nataka.Monitor za gaming zina quality mbovu lakini, zimejaa kibao machinga, MI nimenunua Aoc moja hapa 144hz kwa laki 2 tu, Sema rangi mchele mchele,
Ukiwa na Gpu kidogo inasaidia ku calibrate color.
Mi nataka 29... Vipi huwa zinapatikana?
Huyo niliemtag alikua na moja ya 29 anaifuatilia, ngoja aje.Mi nataka 29... Vipi huwa zinapatikana?
Hapana mkuu jamaaa alikuwa na kipengere kirefu ikabidi niachane nae
Ameshaiuza, nilisubiria kidogo nikampigia kama hujaichukua nichukue, alinijibu ameuza.Hapana mkuu jamaaa alikuwa na kipengere kirefu ikabidi niachane nae
Kwa gaming ile ingenisukuma sukuma lakin
Itabidi mkuu utafute tu 27, maana aspect ratio ya kawaida ni hio 27" ila kwa wide monitors ndio inakuja 29"Mi nataka 29... Vipi huwa zinapatikana?
Oooh! Oky ila me sasaiv nataka nitafute tv tu yenye HDR kali nitumie coz me cio mpenz wa online game saaana naaamin itanifaaaAmeshaiuza, nilisubiria kidogo nikampigia kama hujaichukua nichukue, alinijibu ameuza.
Shukran mkuu ngoja niiongeze kibubu ichi cha makato nikaitafute.Itabidi mkuu utafute tu 27, maana aspect ratio ya kawaida ni hio 27" ila kwa wide monitors ndio inakuja 29"
ni decent laptop mkuu, itafanya mambo mengi kwa uwezo wa kati.habari mkuu naomba nisaidie kuniangalizia hiyo laptop yebye hivyo vigezo hapo naweza kuitumia kwenye maswala ya programming na designing vizuriView attachment 1884525
kwa hiyo mkuu unanishauri niinunue tuni decent laptop mkuu, itafanya mambo mengi kwa uwezo wa kati.
Inategemea na bei mkuu kwa laki 6 kushuka ni machine nzuri, kama ni ghali zaidi bora utafute gen ya 8 kupanda.kwa hiyo mkuu unanishauri niinunue tu