Baba Nla
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 772
- 2,505
Imeisha hiyooZipo LG TV ambazo watu wanatumia replacement ya monitor Sema bei zake ndefu sana kwa mtanzania wa Kawaida ku Afford, zinakuwa ni CX series.
Kwa TV za kawaida angalau iwe full HD ku enjoy ile clarity ya monitor. Hivyo Hakikisha hata kama ni Inch 32 hio TV iwe ni Full HD.
Kuhusu rangi hio ni part ya Color profile, wa naandika kwenye specs na pia unaweza uka calibrate mwenyewe baadae.
Shukrani