Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Zipo LG TV ambazo watu wanatumia replacement ya monitor Sema bei zake ndefu sana kwa mtanzania wa Kawaida ku Afford, zinakuwa ni CX series.

Kwa TV za kawaida angalau iwe full HD ku enjoy ile clarity ya monitor. Hivyo Hakikisha hata kama ni Inch 32 hio TV iwe ni Full HD.

Kuhusu rangi hio ni part ya Color profile, wa naandika kwenye specs na pia unaweza uka calibrate mwenyewe baadae.
Imeisha hiyoo
Shukrani
 
Mkuu me kuna jamaa angu hapa ana samsung tv ina hdr aiseee yhn mpk naitaman anatumia kama monitor anapata picha nzur sana asee
 
HDR 10 hio ama Dolby vision, kuna Dolby vision moja niliona kwenye Samsung TV even Oled ya LG imepitwa.

Sema Ukitaka Monitor zake jiandae mpunga mrefu, hata tv ni zaidi ya 1m.

Na ujinga wa HDR ikitengenezwa kilocal na Mchina inakuwa mbaya, inataka kampuni inayijielewa.

Kuna hii video ya linus ameielezea vizuri sana

Mkuu me kuna jamaa angu hapa ana samsung tv ina hdr aiseee yhn mpk naitaman anatumia kama monitor anapata picha nzur sana asee
Ni kweli mkuu lakini inabidi upate Response rate ya 10millsecond au ata 20 ndo zinafanya poa kwa watu wa gaming.
Pia kuna kitu kina SI units ya GHz sijui ni nini ila wanasema inabidi iwe ni zaidi ya 60ghz ndo kwa gaming inakua poa.
 
Refresh rate, kwa games kama za fps monitor ikiwa 120hz ama 144hz ule mshale wa mouse unakuwa smooth unalenga kirahisi zaidi.
 
Thanks Chief
Changamoto ni bei tuu
Monitor za gaming zina quality mbovu lakini, zimejaa kibao machinga, MI nimenunua Aoc moja hapa 144hz kwa laki 2 tu, Sema rangi mchele mchele,

Ukiwa na Gpu kidogo inasaidia ku calibrate color.
 
Mkuu ina nchi ngapi hiyo? Maana na mimi nataka.
 
Hapana mkuu jamaaa alikuwa na kipengere kirefu ikabidi niachane nae

Kwa gaming ile ingenisukuma sukuma lakin
Ameshaiuza, nilisubiria kidogo nikampigia kama hujaichukua nichukue, alinijibu ameuza.
 
Oooh! Oky ila me sasaiv nataka nitafute tv tu yenye HDR kali nitumie coz me cio mpenz wa online game saaana naaamin itanifaaa
 
habari mkuu naomba nisaidie kuniangalizia hiyo laptop yebye hivyo vigezo hapo naweza kuitumia kwenye maswala ya programming na designing vizuri
20210721_154755.jpg
 
Back
Top Bottom