Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Yeah inatoa picha quality sana mkuu sijawahi ona pia nime google wanasema hizi zinatoa 1080p+
ni 1080p, hio plus inakuja kwenye upana, sababu ni wide monitor. so unapocheza game ama kuangalia video utaletewa 1080p.

hio monitor wakati inatoKA ilikuwa inauzwa milioni mbili na upuuzi sijui jamaa aliitoa wapi.
 
Kupata monitor kali kipengere sana au inaweza kukudondokea kama bahati tu. Unayokuta ina quality nzuri upande wa shape chenga. Unakuta shape vyema ila quality mbovu.
 
Yeah ila kama hii yangu inajitahid sana hata shape so mbya san pia inatoa picha kari
 
Nilichokipenda kingne unaweza kuiset ikawa kama screen ya kawaida sio wide-screen coz kuna game hazichezi kwenye wide-screen
 
Wakuu mnaweza nisaidia kutoa black bar kwenye widescreen ila inatokea kwenye zile cut scene tu nikiwa nacheza kawaida hakuna black bar
 
Cut scene ni video kama video nyengine, zinatokea pembeni sio? Kama game halipo optimized hazitoki. Unless kuwe na patch somewhere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…