Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Ina maana hii gharama inakuwa na makato ya kuagizia unapoipokea au hiyo ni bei yake yenyewe tu ? Mlolongo wake upo vipi mpaka umeipata labda imechukua muda gani?
Hii ni gharama hadi ya kusafirisha, kwanza kusafirisha AliExpress ni bure kabisa hasa hizo SSD.
 
Boss kwemaa aise samahani
Hii imekaaje kaka iko vzr?
 

Attachments

  • Screenshot_2023-09-10-23-09-19-54_a23b203fd3aafc6dcb84e438dda678b6.jpg
    10.2 KB · Views: 7
Mkuu ile pc yangu ya core i3 1005g1 nimeiongezea RAM na ninajipanga niiongezee SSD ya 256, sijui inauzajwe Sata ssd mkuu.
Ninazo hizi hapa.

128GB 40,000Tsh
256GB 60,000Tsh
512GB 115,000Tsh
 
Chief-Mkwawa Nimenunua SATA SSD nikaweka kwenye pc yangu sasa katika kuweka nimeona kuna slot ya kuweka NVMe. Je' naweza kuiongeza nayenyewe? Yaan ziwe zote kwa pamoja Sata SSD na NVMe?
Kwann hukuchukua M2 NVME hata kama ni 512? Maana the way unavyoona generation za ssd zinatofautiana ndo performance inatofautiana pia. Hyo speed unayosema ni kali sana kwa ssd ya sata 2.5 ukiilinganisha na speed ya NVME zimetofautiana Mkuu
 
Chief mkwawa
Binafsi nikushukuru sana kwa elimu hii adimu sana
Naomba nisaidie kwenye hii uwezo wake ukoje
 

Attachments

  • Screenshot_2023-09-10-23-09-19-54_a23b203fd3aafc6dcb84e438dda678b6.jpg
    10.2 KB · Views: 7
Chief-Mkwawa Naomba unisaidie specification za both Laptop na Desktop Information kuanzia Cpu,Graohics (GPU) pamoja na Ram na information zingine ikikupendeza...
Nataka kuanza kufanya kazi za Coding (advance coding ikiwemo Large Language kama python,php na java na zingine nyingi) na hili litaaambatana na Kazi za Graphix kam video editing and rendering amd multi tasking duty...
Sasa nauliza ni computer yenye vigezo gani itafaa kwNgu kuitumia naomba nisaidie ili nikazichukue DEKSTOPS NA LAPTOPS VIJANA WANGU WAANZE KAZI
 
Budget?
 
Kwann hukuchukua M2 NVME hata kama ni 512? Maana the way unavyoona generation za ssd zinatofautiana ndo performance inatofautiana pia. Hyo speed unayosema ni kali sana kwa ssd ya sata 2.5 ukiilinganisha na speed ya NVME zimetofautiana Mkuu
Nimesha ambiwa na Chief-Mkwawa kuwa naweza weka NVMe na ninampango niagize 1TB, nimechukua hiyo nikwasababu pc yangu ilikuwa iiminiletea Blue Screen of Death hvyo ikabidi niagize hiyo Sata. Nataka niagize hiyo, kumbe NVMe inanguvu kuliko sata?
View attachment 2745840
 
For 1 laptop nafikiri li ntahitji kuichukua kwa pesa isizidi 1.5mil na for Desktop isizidi 800k
Kwa desktop used gen ya 8 unapata around laki 4, hizi unapata maduka ya kawaida kariakoo, tumia kiasi kilichobaki ku upgrade ram, ssd na Gpu. Kwa issue zako Gpu angalau gtx 1050. Option uliyonayo ni gtx 1050, 1050ti, 1650ti, rtx A2000. Ila kwa budget yako ni kati ya 1050 hadi 1650 ndio uhalisia.

Changamoto hizi gpu ngumu kupata huku kwetu ni za kuagizishia, online naziona around laki 2 mpaka 3 used ebay.

Kwa laptop around 1m mpaka 1.5m unapata mtumba ambayo ina gen ya 11 kupanda amba ryzen 5000 kupanda na gpu ndogo kama Nvidia Mx 450.

Alternative kitu chepesi kama Laptop unaweza Agizishia Amazon.
 
Sata Ssd nyingi Max ni 500MBps hizi Nvme nyingi ni 3.5GBps na zipo za kisasa hadi 12GBps
 
Mkuu Generation ya 11 kwa Core yoyote Au specifally niance na coreI5 na coreI7 au ni processor yoyote ila generation ya 11
 
Minimum i5 mkuu, kwenye laptop utofauti wa i5 na i7 ni mdogo sana.
Dah shukrani nilijaribu kununua hapa Laptop nilichokutana nacho huko nisaidie mkuu 🤣🤣🤣 maana kimenitoa ushamba nimeenda kwenye filter nashangaa nimeandika core i5 nikaulizwa with hiw much procesor count sasa ikanichanganya kidogo so ukitoa generation kwamfano...
Ni hiyo core i5 with 11 generation na processor count ipi ni nzuri au number of core zipi ni nzuri...
I mean imenichanganya kidogo kuona processor type na processor count na generation na nimeona pia hapa kwenye GPU dedicated na integrated...na kuhusu Memory technology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…