Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #361
mkuu desktop ni mbaya,Mkuu CHIEF MKWAWA kuna hii desktop ya Hp Compaq yenye specifications hizi:
Intel(R) Pentium(R) 4 CPU 3.06 GHz 3.06 GHz, 496 MB of RAM..
Nataka ku_upgrade RAM, je RAM yenye ukubwa gani itafaa na inapatikana vipi na kwa shilingi ngapi..!? Je hiyo processer ipo vizuri..!?
Nimekuelewa mkuu, ila nataka hii desktop iwe kwa ajili ya kusikiliza miziki na kuangalia muvi, je itafaa Mkuu..!?mkuu desktop ni mbaya,
hio hela ya ku upgrade save ununue angalau yenye core 2 duo 3.0ghz kuendelea. zinapatikana madukani around 100,000 hadi 150,000 na mkononi unazipata rahisi zaidi
yap inafaa,Nimekuelewa mkuu, ila nataka hii desktop iwe kwa ajili ya kusikiliza miziki na kuangalia muvi, je itafaa Mkuu..!?
game zote za mpira unacheza hapo mkuu,kwa pc hii naweza cheza game gani ya mpira?
asante kwa majibu itabidi niweke low au medium?game zote za mpira unacheza hapo mkuu,
sema nyengine itabidi tu upunguze quality
itategemea na game na eneo ulipo nk mfano kama upo eneo lenye hewa ya kutosha hio cpu/gpu yako itamaintain turbo kwa muda mrefu na utacheza kwa quality nzuri.a
asante kwa majibu itabidi niweke low au medium?
sijaiangalia hio video ila nishajua kuna nini, mwenyewe jana nilikua suprised sana, nasubiria benchmarks za hio tarehe 1.
Hahaha!sijaiangalia hio video ila nishajua kuna nini, mwenyewe jana nilikua suprised sana, nasubiria benchmarks za hio tarehe 1.
mkuu hio ni kabla ya generation hizi za i3/i5/i7Chief vipi kuhusu hii dell inspiron itel (r)pentium(r) dual t3400 @2.16-2.17 ni generation ya ngap na vipi kuhusu uwezo wake katika game na phone repair
Asante kwa kuwa mwalim mzur katika taaluma hii ubarikiwe zaid
mkuu ni quad ipi? core 2 quad au hizi i series? nenda my computer halafu right click chagua properties kuona jina la cpu.Kiongozi vipi kuhusu mashine ya Hp yenye processor quad ya 2. 34 GHz Nataka kuitumia kwa ajili ya kufanya editing na kucheza game kubwa tu. Je graphics card ipi itakuwa suitable na mashine yangu?
Alafu mkuu naomba mwongozo wa pc nzuri ya kufanyia editing..kutumia .PS ..AI..NA after effect!!mkuu ni quad ipi? core 2 quad au hizi i series? nenda my computer halafu right click chagua properties kuona jina la cpu.
Ni core 2 quadmkuu ni quad ipi? core 2 quad au hizi i series? nenda my computer halafu right click chagua properties kuona jina la cpu.
Mashine ni Hp Compaq dc7900 business Pcmkuu ni quad ipi? core 2 quad au hizi i series? nenda my computer halafu right click chagua properties kuona jina la cpu.
mkuu itafanya hizo kazi ila sio kwa ufanisi mkubwa, maana ni cpu ya zamani kidogo.Ni core 2 quad
Hebu nipe Recommendation kwa mashine ipi nzuri ya kununua kwa ajili ya editing, flashing and unlocking phone na kuchezea games.mkuu itafanya hizo kazi ila sio kwa ufanisi mkubwa, maana ni cpu ya zamani kidogo.