Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #381
Alafu mkuu naomba mwongozo wa pc nzuri ya kufanyia editing..kutumia .PS ..AI..NA after effect!!
Na pc ambayo ni nzuri kwa games za kisasa!!
Iwe laptop au desktop
kwa desktop mkuu i5 2400 inatosha kabisa kuanzia itafanya mambo yote hayo sema gpu itabidi utafute mwenyewe.Hebu nipe Recommendation kwa mashine ipi nzuri ya kununua kwa ajili ya editing, flashing and unlocking phone na kuchezea games.
Msaada kidogo maana kuna sehemu umeniacha njiani. Gpu ni nini hasa??kwa desktop mkuu i5 2400 inatosha kabisa kuanzia itafanya mambo yote hayo sema gpu itabidi utafute mwenyewe.
nenda mtaa wa likoma kkoo, anzia likoma na uhuru mkono wa kushoto kuna duka niliona desktop nzuri kwa bei nafuu, ukikosa nyoosha moja kwa moja na likoma hadi ufike kanisa la kkkt angalia tena kushoto utaona kaale computers pia wana desktop nzuri za 3rd gen bei wanaanzia laki 4 ila nafkiri wanashuka.
kwengine ni discountkubwa wanaangalizana na kituo cha polisi msimbazi wao walikuwa wanauza i5 2400 kwa 255,000
gpu ni graphics processing unit, ni kifaa kwenye computer ambacho kinadeal na graphics, ukitaka kuona graphics zinazopendeza machoni iwe ni video, games, 3d animation etc utahitaji gpu nzuri.Msaada kidogo maana kuna sehemu umeniacha njiani. Gpu ni nini hasa??
kumiliki blog hapa tz unalipia am? pie web je unalipia ama la kama ndio ni kiasi ghani JE KUTENGENEZA WEB HAPA NI SHS NGAPBoot device not found!!! Kwenye pc naomba msaada hapo mkuu kama una utaalamu kuhusu hilo
hapana huwezi eka emmc zinakuwa za kuchomelea, hizo ni laptop za mambo madogo kama kubrowse na kuangalia youtube hata processor zake zinakuwa ndogoView attachment 475941 Chief-Mkwawa ufafanuzi hapo kwenye eMMC... Naweza weka SSD au HDD?
Chief-Mkwawa vp na hii itafaa kwa matumizi ya wastani?hapana huwezi eka emmc zinakuwa za kuchomelea, hizo ni laptop za mambo madogo kama kubrowse na kuangalia youtube hata processor zake zinakuwa ndogo
angalia cpu yake, kama ni apollo lake inafaa kama ni braswell haifai,Chief-Mkwawa vp na hii itafaa kwa matumizi ya wastani?View attachment 475944
"reboot and select proper boot device"wakuu habari za leo?Nina pc yangu ilianguka chini lakini baada ya kuanguka haiwaki mpaka mwisho inaonesha mandishi kama ya hiyo picha.Shida inaweza ikawa nini?
Asante mkuu ilikuwa imelegea!"reboot and select proper boot device"
pc haioni hdd, either imechomoka au imeharibika.
ifungue icheki hio hdd
jana na leo benchmark zimetoka,Hahaha!
Yeah nimeona! na single thread kwenye games ndiyo yenyewe sasa. Dah kwa hiyo intel walikuwa wanawaibia watu! Washushe tu bei kwakweli. Tusubiri na vega tuone.jana na leo benchmark zimetoka,
better multithread ila still wapo nyuma kwa single thread compare to intel. hivyo kwenye games, cad na software nyengine za single thread bado Amd wana kazi.
ila wamejitahidi sana Amd maana naona intel kashusha bei ya i7 na i5
clock speed za ryzen ni ndogo, wakitumia manufacturing technology nZuri wakaipandisha hadi 4.5ghz na wakiongeza ipc kidogo wanaweza fikia single thread perfomance nzuri.Yeah nimeona! na single thread kwenye games ndiyo yenyewe sasa. Dah kwa hiyo intel walikuwa wanawaibia watu! Washushe tu bei kwakweli. Tusubiri na vega tuone.
Ila sina uhakika kama wataweza kuimprove kwa kiwango kama hiki next time. Kuna jamaa pale amd alikuwa anaitwa jimmy Keller alikuwa yuko safi safi kwenye maswala ya processors na nahisi ndiyo atakuwa ameisapoti sana AMD Ryzen. Sasa yule nasikia amehama AMD.
hapo labda used mkuu,Ahsante kaka kwa somo zuri, hv nikiwa na lak 6 nkataka kununua pc ntapata yenye processor nzur?
game dogo kama hilo litarun,Chief-Mkwawa
ahsante kaka, nahtaji kwa matumiz ya kawaida. kwa upande wa games napenda euro truck simulator