Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Kilichoipa nguvu ni hiyo herufi HQ huko mwisho pamoja na SKU(Model number) ya 710?
 
Ndio, zinazoishiwa na HQ zinakuwa na nguvu zaidi huku zikila umeme zaidi. Na namba 7 pia inaashiria ni version ya juu compare na 5 ama 6 zilizopo i7 nyengine.
 
Mkuu ikiwa i3 model numbers huwa zinaanzia 0 hadi 1,i5 model numbers huwa zinaanzia 2 hadi 4 na i7 model numbers huwa zinaanzia 5 hadi 8.Sasa i9 model numbers huwa zinaanzia ngapi hadi ngapi?
 
Mkuu kwema kwa budget ya laki 5 naweza pata laptop aina gani na sifa zake je?
 
I9 hazikuwepo zamani zimeanzia gen ya 9, na zinachukua hio namba 9,
 
Kuweka nini Mkuu?

Je Nimshushe hadi ngapi?

Na hiyo Graphic naweza weka na kiasi gani?
Ukiona ime andika Microsoft basic adapter ujue haina driver za graphics, Ngumu kujua.

Kama a naweza kuweka utaona vizuri.
 
Mkuu kwema kwa budget ya laki 5 naweza pata laptop aina gani na sifa zake je?
Laki 5 kama unataka mpya unapata tu hizi celeron na pentium ambazo hazina nguvu kivile

Ila ukitafuta used unapata gen ya 6 ama ya 7. Core i5 ambayo itafanya matumizi yote ya kawaida vizuri.
 
Sawa mkuu jana nilienda kufanya window shopping izo used nikakimbia nipo Mwanza

Iyo HP niliambiwa laki 8

Hii Dell et Laki 650

HP laki 6
 
HP laki 6 View attachment 1678906View attachment 1678908View attachment 1678910
Mkuu kwenye kununua laptop nikupe tips
1. Kuangalia ram na HDD ni vizuri ila usikubali viku influence kufanya maamuzi, ram na hdd vinaongezeka kirahisi.

2. Usiangalie tu ghz na i3/i5/i7 angalia pia generation gani cpu ipo, mfano hizo laptop ulizotuma hazioneshi generation, mtu a naweza ku tafuta generation ya kwanza ambayo ipo slow kushinda simu then akajaza ram kubwa na hdd kubwa akakuuzia ghali. Kuona Jina LA cpu ili ujue gen nenda my computer kisha right click then properties.
 
Sawa Mkuu.

Na kama haina Driver namiss kitu gani?
Kwanza driver ipo Sema tu haijaekwa

Na laptop bila driver ya graphics haifanyi kitu chochote kinachotaka graphics. Mfano video za full HD hazitacheza, games hutacheza, video huta edit etc.
 
Thanks mkuu nimekupata ubarikie kwa hii elimu
 
Kwanza driver ipo Sema tu haijaekwa

Na laptop bila driver ya graphics haifanyi kitu chochote kinachotaka graphics. Mfano video za full HD hazitacheza, games hutacheza, video huta edit etc.
Mkuu kuna CPU za intel zenye herufi kuanzia G1 hadi G7 mwishoni.Hizi herufi huwa zinawakilisha nini?
 
Gen ya 10 na 11 ni graphics

G7 graphics kali zaidi na G1 graphics ndogo zaidi.

Sema hio G1 still ni nzuri kuliko gen zote za nyuma, kama i7 gen ya 9.
 
Kwanza driver ipo Sema tu haijaekwa

Na laptop bila driver ya graphics haifanyi kitu chochote kinachotaka graphics. Mfano video za full HD hazitacheza, games hutacheza, video huta edit etc.

Hapo vipi?
Unanishauri vipi Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…