Gen ya 4 ni ya kizamani kidogo ila hii laptop alietuma jamaa ni special case, yenyewe ni variety ya 45W ambayo inatumia umeme mwingi na kutoa perfomance kubwa.
Mfano hii ni benchmark ya hii i7
View attachment 1678806
Na hii ni i7 gen ya 7 mainstream
View attachment 1678807
Na hii i7 gen ya 8
View attachment 1678810
Hivyo unaona kwenye perfomance hii i7 gen ya 4 ni almost perfomance ya gen ya 8, imeipita mbali gen ya 7.
Na sababu inatumia umeme mwingi pia inaweza ku sustain muda mrefu kwenye perfomance kubwa bila kupungua speed, mfano una render video.