Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 1,773
- 3,201
Shukrani sana kwa mrejesho.Hii ni generation ya 10, upande wa cpu ipo vizuri sana ulaji umeme kidogo na perfomance ni nzuri, ila upande wa graphics ni ya kawaida hutaweza kurun vitu vizito vya graphics kama games za kisasa ama kurender 3D kwa ufanisi. Kama ina gpu ya Nje kama Nvidia Mx series inakua vizuri zaidi.