Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

Kuyumba mwonekano wa awali nilazima
Vaa uhalisia ndo upo kwenye dinga na hujui kuendesha imetokea hivyo

Uwe ndo wewe [emoji239][emoji239][emoji239][emoji239][emoji239][emoji28][emoji239][emoji239][emoji239]
 
Hii ya third part ni section A, section B ni kama gari ni ya mkopo na bado unakatwa kwenye mshahara. Kila mwezi wanalamba laki mbili na nusu.
 
Kuyumba mwonekano wa awali nilazima
Vaa uhalisia ndo upo kwenye dinga na hujui kuendesha imetokea hivyo

Uwe ndo wewe [emoji239][emoji239][emoji239][emoji239][emoji239][emoji28][emoji239][emoji239][emoji239]
Hakuna chiz hapo, ni maigizo tu!
Huyo kachanganyikiwa.. Kuna mmoja alifanya tukio kama hilo ni houseboy.. Yeye baada tu ya kuwasha akaweka rivasi akakanyaga mafuta..gari ikarudi nyuma mpaka geti la jirani
Ku on a kakosea akaweka D gari ikarudi ilipotoka na kutua kwenye kiambaza..gari ilikuwa GX90 baloon ikawa kama beetle .. Aliposhuka akaanza kukimbia mtaani huku akipiga kelele kuwa sio yeye
 
[emoji3] sio yeye ni nan sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tena hajaulizwa bado itabidi ataje sasa nan alikuwepo yeye tu
 
Kuna fundi garage alikua anatest carna ya mwanajeshi mmoja si akaitwanga kwenye daraja mpka Leo jamaa zimeruka mazima na ilkua hivi hivi kama masiara kumbe ndio kachizi kweli tuheshimuni mali za watu maana ukipiga hesabu wewe hata nauli ya kurudi gheto huna alafu umeutwanga chini mzigo wa mtu lazima plug moja ifyatuke kichwani
 
Kwa hiyo siku ile walihisi anaigiza? Kumbe akili zimefyatuka mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…