Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Alafu ikwaje..ukaenda Burundi?Ngoja niwape story yangu, Mimi niliazima tayota ist kwa rafiki yangu ili niwahi safari nioliokuwa naiendea, baada kupewa Gari Safi kabisa bado mpya Ina week mbili nikanyoosha goti vizuri safari yangu nikaenda maana ilikuwa mkoa Hadi mkoa mwingine.
Sema sis maskin huwa tuna wenge sana na magari ya watu mi Kuna jamaa aliwahi kunipa gari yake niitembelee baada ya siku 3 nilianza kuwaza je nkipata nayo tatzo ikagongwa au nikaiangusha itakuaje !?Utamfanyaje mtu mwenyewe masikini mkuu!??[emoji23][emoji23]
I see. Gari tatu zote zimehusika na huo mtifuano? Nafahamu hayo maeneo yunayosema, ukitoka hii njia ya Benki kuu unakutana na ile inayoenda Udom/Shoppers Plaza.Utamu zaidi ni kwamba aligongana na gari nyingine pia pale mbele ya kona ya morena njia ya kuelekea Makulu/UDOM
Ukiangalia vizuri kuna brevis nayo imebinuka tako juu
Kwahiyo Ranger+ Brevis lazima ujifanye kung fu snake monkey shedo
Nilirudi Mambo mengine yalifuataAlafu ikwaje..ukaenda Burundi?
Comprehensive insurance wakati dereva hana leseni,kama Mimi ndio mwenye gari tunaingia mkataba wa kumtatua marinda kwa muda usiojulikana mpaka adebedwe kama akina James Delicioushuyo jamaa anapata kichaa cha nini wakati gari ina comprehensive insurance
ushambiwa muosha magari anajuaje hayo lakini wehu ilikua nilazima umpate gari sioyakehuyo jamaa anapata kichaa cha nini wakati gari ina comprehensive insurance
third party ndo nini mzee?Habari wakuu, tunakumbushana kuweni makini na waosha magari mnapowaachia funguo wakati wa kuosha dinga zenu, Jamaa kapeleka gari aina ya Ford Ranger carwash huku Dom kaacha funguo na kuondoka, mwoshaji kamaliza akachukua ford ranger ya Mteja kwenda kutamba nalo, kilichotokea kala mzinga ndinga haitamaniki yeye kapata uchizi wa ghafla.
View attachment 1877570View attachment 1877572
View attachment 1877571
Huyu jamaa mwenye kibukta ndo mwoshaji, hiyo video ndo inaonyesha kichaa cha ghafla alichopata, sipati picha mmiliki ana hali gani hiki ndo ukute alikuwa na third party tu.
Huyo muosha magari Ni mpuuzi Sana, hajihurumii ndo maana alikurupuka kuendesha Hilo gari.Sema sis maskin huwa tuna wenge sana na magari ya watu mi Kuna jamaa aliwahi kunipa gari yake niitembelee baada ya siku 3 nilianza kuwaza je nkipata nayo tatzo ikagongwa au nikaiangusha itakuaje !? Maana haya magari ya watu yanakuaga na kisirani sana Kwanza nikaona inanitia hasara gharama za maisha zinaongezeka nikaamua nimrudishie funguo ya gar yake mimi niendelee kupiga hamza kanun kwa amani
Cari no namba DS bima inaonesha gari haina bima kwa siku 231 hivi! Je kuna uhalisia hapa?
Ni uwendawazimu kiwango cha mirembe kumiliki gari ya pesa mingi halafu ikose hata 3rd partyMengi yana bima za mazabe usione yanatembea barabarani mengi yanabima famba. Kua uyaone mwanangu.
Hiyo gari ni total loss.. Ni beyond repair.. Bima watakata less excess 5% na depreciation kisha inayobaki atapewa mmiliki lakini kama tu alikuwa na bima kubwa.hio comprehensive insurance wabongo wachache wanayo wngi wanatumia tu hizi third party za laki 1, huwa zinahusisha tu watu au mali za watu utaowasababishia madhara mfano kugonga mtu au wanyama au gari...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo kachanganyikiwa.. Kuna mmoja alifanya tukio kama hilo ni houseboy.. Yeye baada tu ya kuwasha akaweka rivasi akakanyaga mafuta..gari ikarudi nyuma mpaka geti la jirani..
Comprehensive insurance wakati dereva hana leseni,kama Mimi ndio mwenye gari tunaingia mkataba wa kumtatua marinda kwa muda usiojulikana mpaka adebedwe kama akina James Delicious
Siku hizi usikubali kutumia bima fake,Bora hata ukate ile ya laki na 18,watu wakisoma na plate tu taarifa zako za bima zinakuja,Kama hapo walivyofanya tukajua kumbe Chombo bima yake ilishakwisha kitambo,na hapo hata kuchezesha ili bima wamlipe haiwezekani maana issue yote tayari iko kwa Mtandao!!Hata mim nshawai tumia fake kipind flan...maana comprehensive yake inafika 800k+
Labda ale na watu wa ndani wa bima tena wale wenye maamuzi ya ulipaji!!mjini connection mkuu naamini hadi anunue gari kama iyo atakua na connection ya kutosha kufanya manuva alipwe kama walivyofanya la Chaz sinza ni insurance scam imetiki
Sasa hiyo hata akipigwa mijeledi 50 ndiyo atalipa hiyo gari!? Mwenye gari akubali matokeo ya uzembe wake wa kuacha funguo za gari nyuma kwa muosha Magari!!Mirembe hawampokei huyo wakimuona tu wanajua ni mzima anacheza sinema zetu hapo akipigwa mijeledi 6 ataongea vizuri
Joto ya jiwe kusa juaMuosha Magari wa Dodoma alichukua gari aina ya ford ranger lililokua linatakiwa kuoshwa na kwenda kuliendesha lakini kwa bahati mbaya alipata nalo ajali baada ya kuingia Barabarani...