Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

Utamfanyaje mtu mwenyewe masikini mkuu!??[emoji23][emoji23]
Sema sis maskin huwa tuna wenge sana na magari ya watu mi Kuna jamaa aliwahi kunipa gari yake niitembelee baada ya siku 3 nilianza kuwaza je nkipata nayo tatzo ikagongwa au nikaiangusha itakuaje !?

Maana haya magari ya watu yanakuaga na kisirani sana Kwanza nikaona inanitia hasara gharama za maisha zinaongezeka nikaamua nimrudishie funguo ya gar yake mimi niendelee kupiga hamza kanun kwa amani
 
Utamu zaidi ni kwamba aligongana na gari nyingine pia pale mbele ya kona ya morena njia ya kuelekea Makulu/UDOM

Ukiangalia vizuri kuna brevis nayo imebinuka tako juu

Kwahiyo Ranger+ Brevis lazima ujifanye kung fu snake monkey shedo
I see. Gari tatu zote zimehusika na huo mtifuano? Nafahamu hayo maeneo yunayosema, ukitoka hii njia ya Benki kuu unakutana na ile inayoenda Udom/Shoppers Plaza.
 
Habari wakuu, tunakumbushana kuweni makini na waosha magari mnapowaachia funguo wakati wa kuosha dinga zenu, Jamaa kapeleka gari aina ya Ford Ranger carwash huku Dom kaacha funguo na kuondoka, mwoshaji kamaliza akachukua ford ranger ya Mteja kwenda kutamba nalo, kilichotokea kala mzinga ndinga haitamaniki yeye kapata uchizi wa ghafla.

View attachment 1877570View attachment 1877572
View attachment 1877571
Huyu jamaa mwenye kibukta ndo mwoshaji, hiyo video ndo inaonyesha kichaa cha ghafla alichopata, sipati picha mmiliki ana hali gani hiki ndo ukute alikuwa na third party tu.
third party ndo nini mzee?
 
Sema sis maskin huwa tuna wenge sana na magari ya watu mi Kuna jamaa aliwahi kunipa gari yake niitembelee baada ya siku 3 nilianza kuwaza je nkipata nayo tatzo ikagongwa au nikaiangusha itakuaje !? Maana haya magari ya watu yanakuaga na kisirani sana Kwanza nikaona inanitia hasara gharama za maisha zinaongezeka nikaamua nimrudishie funguo ya gar yake mimi niendelee kupiga hamza kanun kwa amani
Huyo muosha magari Ni mpuuzi Sana, hajihurumii ndo maana alikurupuka kuendesha Hilo gari.
 
Bila shaka Mshana Jr Atakua na mengi ya kutujuza,

limekaaje hili katika ulimwengu wetu ule[emoji4]
Cari no namba DS bima inaonesha gari haina bima kwa siku 231 hivi! Je kuna uhalisia hapa?
Hi yo gari ilikuwa inatafuta damu ya kuondoka nayo..bahati mbaya imekosekana.. Kwa mzinga ule halafu mwana katoka salama..KWELI CHIZI HAROGWI TENA
 
hio comprehensive insurance wabongo wachache wanayo wngi wanatumia tu hizi third party za laki 1, huwa zinahusisha tu watu au mali za watu utaowasababishia madhara mfano kugonga mtu au wanyama au gari...
Hiyo gari ni total loss.. Ni beyond repair.. Bima watakata less excess 5% na depreciation kisha inayobaki atapewa mmiliki lakini kama tu alikuwa na bima kubwa.

Vile vile wanaweza kumkata percent za uzembe.

NB: Kama bima ni NIC au ZIC ajiandae kwa maumivu ya kufuatilia
 
Hata mim nshawai tumia fake kipind flan...maana comprehensive yake inafika 800k+
Siku hizi usikubali kutumia bima fake,Bora hata ukate ile ya laki na 18,watu wakisoma na plate tu taarifa zako za bima zinakuja,Kama hapo walivyofanya tukajua kumbe Chombo bima yake ilishakwisha kitambo,na hapo hata kuchezesha ili bima wamlipe haiwezekani maana issue yote tayari iko kwa Mtandao!!
 
mjini connection mkuu naamini hadi anunue gari kama iyo atakua na connection ya kutosha kufanya manuva alipwe kama walivyofanya la Chaz sinza ni insurance scam imetiki
Labda ale na watu wa ndani wa bima tena wale wenye maamuzi ya ulipaji!!
 
Back
Top Bottom