GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nawe na huyo Mangungu mbona unamtetea sana au una siri kwamba akiendelea kuwepo hapo Simba itaendelea kufanya vibaya na hivyo kwako ww ni jambo la kukufurahisha sana si ndio?Mangungu amechaguliwa na wanachama kwenye mkutano mkuu wa klabu. Unataka ajiuzulu kwa sababu gani? Ungeziorodhesha hizo sababu ili tuzipime na kuona kama zina mashiko, au la.
Wewe nawe na huyo Mangungu mbona unamtetea sana au una siri kwamba akiendelea kuwepo hapo Simba itaendelea kufanya vibaya na hivyo kwako ww ni jambo la kukufurahisha sana si ndio?
Hapana mtani. Mimi najaribu tu kusimama kwenye haki. Mtuambie kosa la Mangungu ni lipi mpaka kufikia hatua ya kushinikizwa kujiuzulu na baadhi ya mashabiki!Wewe nawe na huyo Mangungu mbona unamtetea sana au una siri kwamba akiendelea kuwepo hapo Simba itaendelea kufanya vibaya na hivyo kwako ww ni jambo la kukufurahisha sana si ndio?
SawaTafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
Simple la kumwambia ajiuzulu ni kutekeleza kanuni tuuh za uongozi bora ,moja ya kanuni hizo hizo ni uwajibikaji na KUJIUZULU ni sehemu ya uwajibikaji.Hapana mtani. Mimi najaribu tu kusimama kwenye haki. Mtuambie kosa la Mangungu ni lipi mpaka kufikia hatua ya kushinikizwa kujiuzulu na baadhi ya mashabiki!
Kumbuka Mangungu ni Mwenyekiti wa klabu aliyechaguliwa na wanachama! Kwa hiyo wanachama ndiyo wenye haki ya kumuondoa, tena kupitia mkutano ule ule uliomchagua. Au labda katiba ya timu yako iko tofauti na katiba nyingine?
Dhana ya uwajibikaji!Kama alikuwa sehemu ya uongozi hata kama alikuwa anafua jezi klabuni anapaswa kuachia nafasi.Tukijizoesha kuwajibika pale taasisi iliyo chini Yako inpofanya vibaya nafikiri hata mawaziri wataanza kujiudhulu mwisho atamalizia anayewachagua.Hapana mtani. Mimi najaribu tu kusimama kwenye haki. Mtuambie kosa la Mangungu ni lipi mpaka kufikia hatua ya kushinikizwa kujiuzulu na baadhi ya mashabiki!
Kumbuka Mangungu ni Mwenyekiti wa klabu aliyechaguliwa na wanachama! Kwa hiyo wanachama ndiyo wenye haki ya kumuondoa, tena kupitia mkutano ule ule uliomchagua. Au labda katiba ya timu yako iko tofauti na katiba nyingine?
Huyu mlimrudisha tena wakati simba tayari inafanya vibaya, hamkuliona hilo kwmba hana jipya? Yaani mumchague wenywe siku mbili mtake ajiuzulu, mpo timamu kweli?Simple la kumwambia ajiuzulu ni kutekeleza kanuni tuuh za uongozi bora ,moja ya kanuni hizo hizo ni uwajibikaji na KUJIUZULU ni sehemu ya uwajibikaji.
Kama mnampa kichwa atapasuka uyo hana jipya pale simba zaidi ya ahadi za uongo na zakitoto
Asidhani anaongoza familia yake .EBOOOOOH!!!!?
Sasa si mlimchagua nyinyi wenyewe! Mnatakiwa msubiri kipindi chake kiishe, ili muweze kumchagua mwenyekiti mwingine kupitia sanduku la kura.Simple la kumwambia ajiuzulu ni kutekeleza kanuni tuuh za uongozi bora ,moja ya kanuni hizo hizo ni uwajibikaji na KUJIUZULU ni sehemu ya uwajibikaji.
Kama mnampa kichwa atapasuka uyo hana jipya pale simba zaidi ya ahadi za uongo na zakitoto
Asidhani anaongoza familia yake .EBOOOOOH!!!!?
Huwa kuna mapinduzi kwny uongozi wowote duniani..kama huyo aliechaguliwa ataonekana hafai kwa waliomchagua au kuna tetesi zozote za uasi atafanyiwa kauzibe mpka aachie madaraka...sasa wana simba waliomchagua ndo hawamtaki na wameona hawafai shida iko wapi..Hapana mtani. Mimi najaribu tu kusimama kwenye haki. Mtuambie kosa la Mangungu ni lipi mpaka kufikia hatua ya kushinikizwa kujiuzulu na baadhi ya mashabiki!
Kumbuka Mangungu ni Mwenyekiti wa klabu aliyechaguliwa na wanachama! Kwa hiyo wanachama ndiyo wenye haki ya kumuondoa, tena kupitia mkutano ule ule uliomchagua. Au labda katiba ya timu yako iko tofauti na katiba nyingine?
Mangungu amechaguliwa na wanachama. Kwa hiyo kama hatoshi, wa kulaumiwa ni wale waliomchagua. Hata ningekuwa mimi, nisingejiuzulu mpaka kipindi cha uongozi wangu kifikie tamati.Dhana ya uwajibikaji!Kama alikuwa sehemu ya uongozi hata kama alikuwa anafua jezi klabuni anapaswa kuachia nafasi.Tukijizoesha kuwajibika pale taasisi iliyo chini Yako inpofanya vibaya nafikiri hata mawaziri wataanza kujiudhulu mwisho atamalizia anayewachagua.
Hapa hatuongelei utimamu au kutokua utimamuHuyu mlimrudisha tena wakati simba tayari inafanya vibaya, hamkuliona hilo kwmba hana jipya? Yaani mumchague wenywe siku mbili mtake ajiuzulu, mpo timamu kweli?
Unauhakika alichaguliwa !?Sasa si mlimchagua nyinyi wenyewe! Mnatakiwa msubiri kipindi chake kiishe, ili muweze kumchagua mwenyekiti mwingine kupitia sanduku la kura.
Nadhani wana Yanga ndo watakua wana agenda yao ya msingi kutaka mangungu abakie kwa sbb haiwezekani wana simba hawamtaki mtu ambae wao wanamjua wanafanya nae kazi wanajua ameharibu wapi na madhaifu yake ni yapi..halafu nyie mje kumtetea na kumshikia kidete kuwa hana kosa na mambo mengine kama hayo...kuhusu sbb za msingi nadhani mtafute mwana simba anaeshinda hapo clabuni msimbazi umuulizie atakupa jibu..Kwani mangungu anachangiaje simba kufanya vibaya? Dondosheni sababu za kutosha basi tujue
Mimi naona hizi ni hujuma tu anazofanyiwa Mwenyekiti Mangungu na wapinzani wake. Mapinduzi ya kuuondoa uongozi halali wa kuchaguliwa, ni haram kwa uelewa wangu.Huwa kuna mapinduzi kwny uongozi wowote duniani..kama huyo aliechaguliwa ataonekana hafai kwa waliomchagua au kuna tetesi zozote za uasi atafanyiwa kauzibe mpka aachie madaraka...sasa wana simba waliomchagua ndo hawamtaki na wameona hawafai shida iko wapi..
Nilishuhudia kwa macho yangu kupitia luninga. Na siku hiyo mpiga kampeni alikuwa ni Caesar Manzoki.Unauhakika alichaguliwa !?
Wengi mnamsoma Murtaza kwenye media tu hamujuhi, huyo Murtaza nyumbani kwao ni Kitumbini mtaa wa Libya uhindini kabisa.Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
Haram ni nguruwe tuu shekhe...Mimi naona hizi ni hujuma tu anazofanyiwa Mwenyekiti Mangungu na wapinzani wake. Mapinduzi ya kuuondoa uongozi halali wa kuchaguliwa, ni haram kwa uelewa wangu.