Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

Ndugu zetu Simba wamepoteana , Simba ilisha kaa toka 2013 impala 2017 miaka mitano bila ubingwa na Mangungu hakuwepo kwaiyo Mangungu si sababu.
Mangungu yupo Simba kwa miaka mi3, Embu tuambie nini uhusiano kati ya 2013-17 uliyouleta kama rejea na 2017/18, 2018/19 2019/20, 2020/21 ukilinganisha na ujio wa Mangungu? Tumia akili za binadamu si Chura.
 
Hapana mtani. Mimi najaribu tu kusimama kwenye haki. Mtuambie kosa la Mangungu ni lipi mpaka kufikia hatua ya kushinikizwa kujiuzulu na baadhi ya mashabiki!

Kumbuka Mangungu ni Mwenyekiti wa klabu aliyechaguliwa na wanachama! Kwa hiyo wanachama ndiyo wenye haki ya kumuondoa, tena kupitia mkutano ule ule uliomchagua. Au labda katiba ya timu yako iko tofauti na katiba nyingine?
Sasa mtani km sherehe siyo yako tai ndefu ya nini. Na kwa nini ulie wakati msiba siyo wako
 
Nadhani wana Yanga ndo watakua wana agenda yao ya msingi kutaka mangungu abakie kwa sbb haiwezekani wana simba hawamtaki mtu ambae wao wanamjua wanafanya nae kazi wanajua ameharibu wapi na madhaifu yake ni yapi..halafu nyie mje kumtetea na kumshikia kidete kuwa hana kosa na mambo mengine kama hayo...kuhusu sbb za msingi nadhani mtafute mwana simba anaeshinda hapo clabuni msimbazi umuulizie atakupa jibu..
Wakati anamleta manzoki kwenye kampeni si-mlikuwa mnachekelea na kufurahi na mkamchagua iweje leo muwalaumu tena yanga
 
Ndugu zetu Simba wamepoteana , Simba ilisha kaa toka 2013 impala 2017 miaka mitano bila ubingwa na Mangungu hakuwepo kwaiyo Mangungu si sababu.

Kitu kingine baadhinya mashabiki wanacho kosea ni kufikiri ni rahisi kumuondoa Mangungu bila ridhaa yake.
Mangungu amechaguliwa na mkutano mkuu na ataondolewa na mkutano mkuu bahati mbaya uongozi wake ndio wenye

Alaah! Kumbe yanga ndio mmemweka mangungu ili mfanye hujuma kupitia yeye sio..kwaio hata mafanikio yenu ni ya kimagumashi
Nadhani maana wao leo wamekua mtetezi wao
 
Ndugu zetu Simba wamepoteana , Simba ilisha kaa toka 2013 impala 2017 miaka mitano bila ubingwa na Mangungu hakuwepo kwaiyo Mangungu si sababu.

Kitu kingine baadhinya mashabiki wanacho kosea ni kufikiri ni rahisi kumuondoa Mangungu bila ridhaa yake.
Mangungu amechaguliwa na mkutano mkuu na ataondolewa na mkutano mkuu bahati mbaya uongozi wake ndio wenye mamlaka kikatiba ku uitisha.

Kule Tff wala baraza la michezo ata wizarani hakuna anaye tanbua bodi ya Simba inayo ongeza na mwekezaji kwakua Transformation bado haijakamilika na kisheria hakuna mamlaka inayo mtambua MO wala wajumbe wake wa bodi kwakua mchakato wao wa mabadiliko hautambuliki popote kisheria.

MO anatanbulika kama mdhamini tu pale Simba kama walivyo Aluminiam, M bet au NBC kwakua kwenye jezi za Simba ana matangazo yake ambayo anayalipia.
Mangungu abembelezwe bila hivyo baadhi ya watu watatumia nguvu na kujikuta Lupango
Bandiko refu kama maelezo ya Mangungu juzi redioni...hayaeleweki..
 
Mashabiki wa simba walishangilia vibaya mno kwenye ile mechi ya fa ambayo manzoki alikua uwanjan nakumbuka vizuri sana ni mwaka jana mwishoni wa january
Labda walifurahi kumuona supastaa wa kipindi hiko na sio kwamba walimfurahia Mangingo...
 
Labda walifurahi kumuona supastaa wa kipindi hiko na sio kwamba walimfurahia Mangingo...
Sio supastaa ilikua ni siku kadhaa kabla ya uchaguzi na alitumika kwenye kampeni za mangungu na akishinda kwa kishindo tokea pale nikaona washabiki wengi wa simba wana-shida mahali

Sio tu pale uwanjani hadi huku mtaani mashabiki walishangilia sana
 
Dhana ya uwajibikaji!Kama alikuwa sehemu ya uongozi hata kama alikuwa anafua jezi klabuni anapaswa kuachia nafasi.Tukijizoesha kuwajibika pale taasisi iliyo chini Yako inpofanya vibaya nafikiri hata mawaziri wataanza kujiudhulu mwisho atamalizia anayewachagua.
Sawa kwanini upande wa Mo wanajihuzuru muda huo huo wanarudi kwenye madaraka na halionekani ni tatizo?
 
Wapo baadhi ya member humu wanafurahia sana tunavyofarakana ni suala la muda hata wao waliteseka miaka mnne,kwao miaka mitatu imekua karne mbwa nyie kaeni kwa kutulia..
 
Back
Top Bottom