Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kama hawamtaki, utaratibu wa kumuondoa ukoje? Ndiyo huu wa kumshinikiza kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti, kupitia mitandao ya kijamii?Waliomchagua ndio hawamtaki sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hawamtaki, utaratibu wa kumuondoa ukoje? Ndiyo huu wa kumshinikiza kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti, kupitia mitandao ya kijamii?Waliomchagua ndio hawamtaki sasa
Utaratibu huo kaupanga naniKama hawamtaki, utaratibu wa kumuondoa ukoje? Ndiyo huu wa kumshinikiza kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti, kupitia mitandao ya kijamii?
Nitamshangaa sana kama atakubali kung'oka kirahisi tu, huku akitambua fika kelele za chura haziwezi kumzuia ng'ombe kunywa maji.Wewe unaonaje?Anang'oka au hang'oki!?
Sasa unaongea nini kumbe utaratibu kaupanga simba basi simba ndio anauvunja huo utaratibuKha!! Ni nyinyi wanachama wenyewe wa Simba na sekretarieti yenu!!
Mangungu yupo Simba kwa miaka mi3, Embu tuambie nini uhusiano kati ya 2013-17 uliyouleta kama rejea na 2017/18, 2018/19 2019/20, 2020/21 ukilinganisha na ujio wa Mangungu? Tumia akili za binadamu si Chura.Ndugu zetu Simba wamepoteana , Simba ilisha kaa toka 2013 impala 2017 miaka mitano bila ubingwa na Mangungu hakuwepo kwaiyo Mangungu si sababu.
Sasa mtani km sherehe siyo yako tai ndefu ya nini. Na kwa nini ulie wakati msiba siyo wakoHapana mtani. Mimi najaribu tu kusimama kwenye haki. Mtuambie kosa la Mangungu ni lipi mpaka kufikia hatua ya kushinikizwa kujiuzulu na baadhi ya mashabiki!
Kumbuka Mangungu ni Mwenyekiti wa klabu aliyechaguliwa na wanachama! Kwa hiyo wanachama ndiyo wenye haki ya kumuondoa, tena kupitia mkutano ule ule uliomchagua. Au labda katiba ya timu yako iko tofauti na katiba nyingine?
Wakati anamleta manzoki kwenye kampeni si-mlikuwa mnachekelea na kufurahi na mkamchagua iweje leo muwalaumu tena yangaNadhani wana Yanga ndo watakua wana agenda yao ya msingi kutaka mangungu abakie kwa sbb haiwezekani wana simba hawamtaki mtu ambae wao wanamjua wanafanya nae kazi wanajua ameharibu wapi na madhaifu yake ni yapi..halafu nyie mje kumtetea na kumshikia kidete kuwa hana kosa na mambo mengine kama hayo...kuhusu sbb za msingi nadhani mtafute mwana simba anaeshinda hapo clabuni msimbazi umuulizie atakupa jibu..
Ndugu zetu Simba wamepoteana , Simba ilisha kaa toka 2013 impala 2017 miaka mitano bila ubingwa na Mangungu hakuwepo kwaiyo Mangungu si sababu.
Kitu kingine baadhinya mashabiki wanacho kosea ni kufikiri ni rahisi kumuondoa Mangungu bila ridhaa yake.
Mangungu amechaguliwa na mkutano mkuu na ataondolewa na mkutano mkuu bahati mbaya uongozi wake ndio wenye
Nadhani maana wao leo wamekua mtetezi waoAlaah! Kumbe yanga ndio mmemweka mangungu ili mfanye hujuma kupitia yeye sio..kwaio hata mafanikio yenu ni ya kimagumashi
Nani ulimuona anachekelea?Wakati anamleta manzoki kwenye kampeni si-mlikuwa mnachekelea na kufurahi na mkamchagua iweje leo muwalaumu tena yanga
Wewe bwege una mikwara ya kikuda, kudadeki zako.Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
Bandiko refu kama maelezo ya Mangungu juzi redioni...hayaeleweki..Ndugu zetu Simba wamepoteana , Simba ilisha kaa toka 2013 impala 2017 miaka mitano bila ubingwa na Mangungu hakuwepo kwaiyo Mangungu si sababu.
Kitu kingine baadhinya mashabiki wanacho kosea ni kufikiri ni rahisi kumuondoa Mangungu bila ridhaa yake.
Mangungu amechaguliwa na mkutano mkuu na ataondolewa na mkutano mkuu bahati mbaya uongozi wake ndio wenye mamlaka kikatiba ku uitisha.
Kule Tff wala baraza la michezo ata wizarani hakuna anaye tanbua bodi ya Simba inayo ongeza na mwekezaji kwakua Transformation bado haijakamilika na kisheria hakuna mamlaka inayo mtambua MO wala wajumbe wake wa bodi kwakua mchakato wao wa mabadiliko hautambuliki popote kisheria.
MO anatanbulika kama mdhamini tu pale Simba kama walivyo Aluminiam, M bet au NBC kwakua kwenye jezi za Simba ana matangazo yake ambayo anayalipia.
Mangungu abembelezwe bila hivyo baadhi ya watu watatumia nguvu na kujikuta Lupango
Mashabiki wa simba walishangilia vibaya mno kwenye ile mechi ya fa ambayo manzoki alikua uwanjan nakumbuka vizuri sana ni mwaka jana mwishoni wa januaryNani ulimuona anachekelea?
Labda walifurahi kumuona supastaa wa kipindi hiko na sio kwamba walimfurahia Mangingo...Mashabiki wa simba walishangilia vibaya mno kwenye ile mechi ya fa ambayo manzoki alikua uwanjan nakumbuka vizuri sana ni mwaka jana mwishoni wa january
Sio supastaa ilikua ni siku kadhaa kabla ya uchaguzi na alitumika kwenye kampeni za mangungu na akishinda kwa kishindo tokea pale nikaona washabiki wengi wa simba wana-shida mahaliLabda walifurahi kumuona supastaa wa kipindi hiko na sio kwamba walimfurahia Mangingo...
Sawa kwanini upande wa Mo wanajihuzuru muda huo huo wanarudi kwenye madaraka na halionekani ni tatizo?Dhana ya uwajibikaji!Kama alikuwa sehemu ya uongozi hata kama alikuwa anafua jezi klabuni anapaswa kuachia nafasi.Tukijizoesha kuwajibika pale taasisi iliyo chini Yako inpofanya vibaya nafikiri hata mawaziri wataanza kujiudhulu mwisho atamalizia anayewachagua.
Mangungu hataki utapeli kama wa Lipumba kujiuzuru halafu unalazimisha kuurudia Uenyekiti.Sawa kwanini upande wa Mo wanajihuzuru muda huo huo wanarudi kwenye madaraka na halionekani ni tatizo?