MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Kama umelipwa /ndo wewe mwenyeweMimi naona hizi ni hujuma tu anazofanyiwa Mwenyekiti Mangungu na wapinzani wake. Mapinduzi ya kuuondoa uongozi halali wa kuchaguliwa, ni haram kwa uelewa wangu.
Mkuu wewe umebeba dhana Yako iliyojaa furaha na matumaini,Mimi nimechangia katika Uhalisia.Wanachama walimchagua hili timu ifanye vibaya au vizuri?Kama timu inafanya vibaya hao wanachama wanatafurahi?Sasa anasubiri uchaguzi hili afurushwe.Mangungu amechaguliwa na wanachama. Kwa hiyo kama hatoshi, wa kulaumiwa ni wale waliomchagua. Hata ningekuwa mimi, nisingejiuzulu mpaka kipindi cha uongozi wangu kifikie tamati.
HATAKIWI PALE MSIMBAZIWengi mnamsoma Murtaza kwenye media tu hamujuhi, huyo Murtaza nyumbani kwao ni Kitumbini mtaa wa Libya uhindini kabisa.
Hakuna mshamba yeyote wa kuja wa kumbabaisha Murtaza, Eng Hersi mtoto wa Kariakoo, Murtaza mtoto wa Libya street, kwakifupi hizo timu sasa hivi zinaongozwa na watoto wa mjini na Murtaza anao uwezo wa kupata pesa za kusajili, siandiki porojo namjuwa vizuri Murtaza kuliko wakuja wengi wanavyomchukulia.
Basi wanachama kama kweli mnamuona Mwenyekiti wenu hatoshi, si mhamasishane ili uitishwe mkutano mkuu wa klabu kwa lengo la kumpa nafasi ya kujitetea.Mkuu wewe umebeba dhana Yako iliyojaa furaha na matumaini,Mimi nimechangia katika Uhalisia.Wanachama walimchagua hili timu ifanye vibaya au vizuri?Kama timu inafanya vibaya hao wanachama wanatafurahi?
Na amesema hang'oki sasa! 😁Kama umelipwa /ndo wewe mwenyewe
HATUMTAKI MANGUNGU/HATUKUTAKI MANGUNGU.full stop.
Wewe unaonaje?Anang'oka au hang'oki!?Na amesema hang'oki sasa! 😁
Ha ha haNilishuhudia kwa macho yangu kupitia luninga. Na siku hiyo mpiga kampeni alikuwa ni Caesar Manzoki.
Waliomchagua ndio hawamtaki sasaMangungu amechaguliwa na wanachama kwenye mkutano mkuu wa klabu. Unataka ajiuzulu kwa sababu gani? Ungeziorodhesha hizo sababu ili tuzipime na kuona kama zina mashiko, au la.
Kama mnataka kumtoa itisheni mkutano mkuu maalum then muorodheshe makosa yake yakiwa na mashiko mpige kura ya kutokuwa imani nae, nje ya hapo Mangungu hatoki sisi kama Yanga bado tunamuhitaji hapo ili kukamilisha malengo ya ubingwa wa back to back miaka 10.Waliomchagua ndio hawamtaki sasa
Kigezo Cha kutotoka ni kipiKama mnataka kumtoa itisheni mkutano mkuu maalum then muorodheshe makosa yake yakiwa na mashiko mpige kura ya kutokuwa imani nae, nje ya hapo Mangungu hatoki sisi kama Yanga bado tunamuhitaji hapo ili kukamilisha malengo ya ubingwa wa back to back miaka 10.
Baby wangu, wanamng'ang'ania sana huyu mtu abaki sjui kwanini..Wewe nawe na huyo Mangungu mbona unamtetea sana au una siri kwamba akiendelea kuwepo hapo Simba itaendelea kufanya vibaya na hivyo kwako ww ni jambo la kukufurahisha sana si ndio?
Popoma la mapopoma, haujui.Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
Alaah! Kumbe yanga ndio mmemweka mangungu ili mfanye hujuma kupitia yeye sio..kwaio hata mafanikio yenu ni ya kimagumashiKama mnataka kumtoa itisheni mkutano mkuu maalum then muorodheshe makosa yake yakiwa na mashiko mpige kura ya kutokuwa imani nae, nje ya hapo Mangungu hatoki sisi kama Yanga bado tunamuhitaji hapo ili kukamilisha malengo ya ubingwa wa back to back miaka 10.
Kama yangekuwa ya kimagumashi wasingekukanda mara mbili na uliwapa alama 6Alaah! Kumbe yanga ndio mmemweka mangungu ili mfanye hujuma kupitia yeye sio..kwaio hata mafanikio yenu ni ya kimagumashi
Ndugu zetu Simba wamepoteana , Simba ilisha kaa toka 2013 impala 2017 miaka mitano bila ubingwa na Mangungu hakuwepo kwaiyo Mangungu si sababu.Haram ni nguruwe tuu shekhe...