Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

Mbona amekaa kishamba kishamba sana? Na ikawaje akashindwa kuwa Mbunge hapo mjini hadi akaenda kugombea kule maporini? Hiyo inayoonyesha wapo wa mjini zaidi yake.
 
Mbona amekaa kishamba kishamba sana? Na ikawaje akashindwa kuwa Mbunge hapo mjini hadi akaenda kugombea kule maporini? Hiyo inayoonyesha wapo wa mjini zaidi yake.
Hata huyo unayemjibu hapa nae ni Mshamba sana tu japo anapenda kujifanya ni Mtoto fulani hivi wa Mjini wakati kaja na Treni ya Bara iliyokuwa imebeba Ng'ombe na Marobota ya Pamba.
 
Mkutano wa dharura wa wanachama unaweza kumuondoa madarakani
 
Mangungu alitekeleza ahadi ya kuchaguliwa kwake. Kuwa akichaguliwa ataifunga Yanga. Na kweli akaifunga. Sasa kosa lake nini?
 
Mimi huwa najiuliza, kama Mo alitoka kwenye uongozi wa Simba, siku aliyokuja rais wa CAF, Mo alikuwepo pale kama nani?
Huyu Mhindi ni mjanja janja tu!
Mo akiwa mwenyekiti kitu na mwenyekiti tulipata mafanikio makubwa, tunachakiangalia ni mafanikio kimpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…