Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

Wengi mnamsoma Murtaza kwenye media tu hamujuhi, huyo Murtaza nyumbani kwao ni Kitumbini mtaa wa Libya uhindini kabisa.

Hakuna mshamba yeyote wa kuja wa kumbabaisha Murtaza, Eng Hersi mtoto wa Kariakoo, Murtaza mtoto wa Libya street, kwakifupi hizo timu sasa hivi zinaongozwa na watoto wa mjini na Murtaza anao uwezo wa kupata pesa za kusajili, siandiki porojo namjuwa vizuri Murtaza kuliko wakuja wengi wanavyomchukulia.
Mbona amekaa kishamba kishamba sana? Na ikawaje akashindwa kuwa Mbunge hapo mjini hadi akaenda kugombea kule maporini? Hiyo inayoonyesha wapo wa mjini zaidi yake.
 
Mbona amekaa kishamba kishamba sana? Na ikawaje akashindwa kuwa Mbunge hapo mjini hadi akaenda kugombea kule maporini? Hiyo inayoonyesha wapo wa mjini zaidi yake.
Hata huyo unayemjibu hapa nae ni Mshamba sana tu japo anapenda kujifanya ni Mtoto fulani hivi wa Mjini wakati kaja na Treni ya Bara iliyokuwa imebeba Ng'ombe na Marobota ya Pamba.
 
Hapana mtani. Mimi najaribu tu kusimama kwenye haki. Mtuambie kosa la Mangungu ni lipi mpaka kufikia hatua ya kushinikizwa kujiuzulu na baadhi ya mashabiki!

Kumbuka Mangungu ni Mwenyekiti wa klabu aliyechaguliwa na wanachama! Kwa hiyo wanachama ndiyo wenye haki ya kumuondoa, tena kupitia mkutano ule ule uliomchagua. Au labda katiba ya timu yako iko tofauti na katiba nyingine?
Mkutano wa dharura wa wanachama unaweza kumuondoa madarakani
 
Simple la kumwambia ajiuzulu ni kutekeleza kanuni tuuh za uongozi bora ,moja ya kanuni hizo hizo ni uwajibikaji na KUJIUZULU ni sehemu ya uwajibikaji.
Kama mnampa kichwa atapasuka uyo hana jipya pale simba zaidi ya ahadi za uongo na zakitoto
Asidhani anaongoza familia yake .EBOOOOOH!!!!?
Mangungu alitekeleza ahadi ya kuchaguliwa kwake. Kuwa akichaguliwa ataifunga Yanga. Na kweli akaifunga. Sasa kosa lake nini?
 
Mimi huwa najiuliza, kama Mo alitoka kwenye uongozi wa Simba, siku aliyokuja rais wa CAF, Mo alikuwepo pale kama nani?
Huyu Mhindi ni mjanja janja tu!
Mo akiwa mwenyekiti kitu na mwenyekiti tulipata mafanikio makubwa, tunachakiangalia ni mafanikio kimpira.
 
Back
Top Bottom