Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nani kamchagua? Hao wawakilishi 50? Ndo wanaweza kuwakilisha mawazo ya wanasimba zaidi ya milioni 5 kweli?Wakati mnamchagua alikuwa kijana..? Haha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kamchagua? Hao wawakilishi 50? Ndo wanaweza kuwakilisha mawazo ya wanasimba zaidi ya milioni 5 kweli?Wakati mnamchagua alikuwa kijana..? Haha
Wakati mnapitisha katiba mlikuwa mmefungwa akili zenu..?Nani kamchagua? Hao wawakilishi 50? Ndo wanaweza kuwakilisha mawazo ya wanasimba zaidi ya milioni 5 kweli?
Timu ina makombe mawili na Wassup channel juu bado mna lalamikaHatumtaki ana mawazo ya kizee..
Wewe ni mke wa Mangungu hadi upewe sababu za huyo mpuuzi wako kutakiwa kujiuzulu?Mangungu amechaguliwa na wanachama kwenye mkutano mkuu wa klabu. Unataka ajiuzulu kwa sababu gani? Ungeziorodhesha hizo sababu ili tuzipime na kuona kama zina mashiko, au la.
Mbona amekaa kishamba kishamba sana? Na ikawaje akashindwa kuwa Mbunge hapo mjini hadi akaenda kugombea kule maporini? Hiyo inayoonyesha wapo wa mjini zaidi yake.Wengi mnamsoma Murtaza kwenye media tu hamujuhi, huyo Murtaza nyumbani kwao ni Kitumbini mtaa wa Libya uhindini kabisa.
Hakuna mshamba yeyote wa kuja wa kumbabaisha Murtaza, Eng Hersi mtoto wa Kariakoo, Murtaza mtoto wa Libya street, kwakifupi hizo timu sasa hivi zinaongozwa na watoto wa mjini na Murtaza anao uwezo wa kupata pesa za kusajili, siandiki porojo namjuwa vizuri Murtaza kuliko wakuja wengi wanavyomchukulia.
Hata huyo unayemjibu hapa nae ni Mshamba sana tu japo anapenda kujifanya ni Mtoto fulani hivi wa Mjini wakati kaja na Treni ya Bara iliyokuwa imebeba Ng'ombe na Marobota ya Pamba.Mbona amekaa kishamba kishamba sana? Na ikawaje akashindwa kuwa Mbunge hapo mjini hadi akaenda kugombea kule maporini? Hiyo inayoonyesha wapo wa mjini zaidi yake.
Andaa Hela zako za kutoa Pole kwa Familia.Mangungu hajiuzulu na hakuna kitu mtamfanya.
Edit hapo siitwi Gena kama ulivyoandika au Genta kama wengi wanavyoandika bali naitwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.Naam mimi ni moja ya watu naamini taarifa zako mkuu nikiona andiko toka kwa Gena lazima nifungue na nisome kwa kutulia, the pure talented charismatic fella
Kumbe nawe huwa Unaumia? Hivi pale unaponiita Mental Case kutwa hapa JamiiForums huwa hujui kuwa huenda wengine ni Baba zako wa Kambo? Mnafiki mkubwa Wewe. Kula Sindano hiyo ya huyu Jamaa.Acha lugha chafu kijana wengine baba zako humu.
Yeah Mkuu na hakuna wala kamwe hakutatokea mwingine kama Mimi hapa JamiiForums.Genta the king
Mnafiki na Nut mkubwa Wewe.Aondoke kwa kweli Leo umefikiri Sawa Sawa
Nauweka uzi huu kama kumbukumbu.Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
Mkutano wa dharura wa wanachama unaweza kumuondoa madarakaniHapana mtani. Mimi najaribu tu kusimama kwenye haki. Mtuambie kosa la Mangungu ni lipi mpaka kufikia hatua ya kushinikizwa kujiuzulu na baadhi ya mashabiki!
Kumbuka Mangungu ni Mwenyekiti wa klabu aliyechaguliwa na wanachama! Kwa hiyo wanachama ndiyo wenye haki ya kumuondoa, tena kupitia mkutano ule ule uliomchagua. Au labda katiba ya timu yako iko tofauti na katiba nyingine?
Mangungu alitekeleza ahadi ya kuchaguliwa kwake. Kuwa akichaguliwa ataifunga Yanga. Na kweli akaifunga. Sasa kosa lake nini?Simple la kumwambia ajiuzulu ni kutekeleza kanuni tuuh za uongozi bora ,moja ya kanuni hizo hizo ni uwajibikaji na KUJIUZULU ni sehemu ya uwajibikaji.
Kama mnampa kichwa atapasuka uyo hana jipya pale simba zaidi ya ahadi za uongo na zakitoto
Asidhani anaongoza familia yake .EBOOOOOH!!!!?
Mo akiwa mwenyekiti kitu na mwenyekiti tulipata mafanikio makubwa, tunachakiangalia ni mafanikio kimpira.Mimi huwa najiuliza, kama Mo alitoka kwenye uongozi wa Simba, siku aliyokuja rais wa CAF, Mo alikuwepo pale kama nani?
Huyu Mhindi ni mjanja janja tu!
Mnafiki na Nut mkubwa Wewe.
Hapana. Mimi ni baba yako wa kambo. Na ndiye niliyewalea tangu baba yako alipofariki.Wewe ni mke wa Mangungu hadi upewe sababu za huyo mpuuzi wako kutakiwa kujiuzulu?
Ww bullaaaa....tulia dawa iwaingie tumeshajua kizizi kilipochimbiwa lazima tukifukue..Timu ina makombe mawili na Wassup channel juu bado mna lalamika