Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

Jitahidi upate ile clip ,aliyoitengeneza ili Mh.Rais aione, naamini atakua ameiona na anafanya utafiti kujua ukweli upo wapi, President Magufuli angeshatoa uamuzi kuhusu ukweli wa hili, ila tusubiri serikali itatamka nini
Kwani huyu jamaa aliyepotea ndiyo yule mfanyabiashara aliyekua anailalamikia TRA kuhusu documents zake ili alipwe na Bima!!??
 
Hawa jamaa bila kujijua wameingiza mdudu kwenye kazi zao zisizo za kiharali na wanatekwa nahis wahusika wapo kazini
 
Kuna kitu hapa, watakuwa wametapeliana tu, wafanyabiashara wa Tanzania ni magumashi sana. Always kunakuwa na kitu nyuma ya pazia kwenye biashara zao. Utakuta mtu anauza unga anajifanya ana baishara ya clearing and forwarding au ana baa.
 
Kwani huyu jamaa aliyepotea ndiyo yule mfanyabiashara aliyekua anailalamikia TRA kuhusu documents zake ili alipwe na Bima!!??
Yes ,malalamiko sio alipwe na BIMA, ila BIMA wapo tayari kumlipa ,tatizo documents za TRA doesn't ADD UP, zimetengenezwa nje ya mfumo rasmi wa TRA!,tukumbuke ile issue ya pale Mbeya kuhusiana na mifumo fake ya ulipaji
 
Kuna kitu hapa, watakuwa wametapeliana tu, wafanyabiashara wa Tanzania ni magumashi sana. Always kunakuwa na kitu nyuma ya pazia kwenye biashara zao. Utakuta mtu anauza unga anajifanya ana baishara ya clearing and forwarding au ana baa.
Huyo sidhani kama anauza unga kwasababu siyo jamii yakina adriz
 
Na mtoa hoja hii unaonyesha ni kiasi gani hizi royal families zimekuathiri, WAJIBU WA POLISI kuja na majibu kuhusiana na kupotea kwa raia huyu, na ni otherway round kwa police kuomba raia wasaidie, sio mimi niwaombe police
 
Endapo Kama kweli huyo aliyetekwa ndio huyu kwenye video basi ndugu zake wasahau, kwa sababu kaharibu sana ugali wa watu. Kwa nchi ya Tanzania na Afrika yote kwa ujumla, huwezi kuwa mkweli na muwazi namna hii halafu uendelee kubaki salama, hii haiwezekani, that's why in our country there are so many "snakes in suits."
 
Duh TRA!
 
5. Je, hiyo ofisi yake haina cctv camera?
 
Mkuu usipre-empt hatima yake, ni mapema mno bali tupaze sauti zetu kwa ummoja wetu humu ndani ili apatikane akiwa hai! Maana leo ni yeye kesho itakuwa wewe!
 
Subiri chain ya unga itajwe week hii, asipokuwepo basi ndio mumtafute.
Hadi sasa, Taskforce wanamajibu ya kila kitu. Yupo sehemu salama
Kama hoja yako ni ya kweli, basi yafaa utaratibu wa kisheria wa ukamataji (arrest) ungefuatwa, lakini siyo kufanya utekaji-nyara (abduction) ambao huzua taharuki kubwa sana ktk jamii, pamoja na kuwafanya wananchi kuendelea kupoteza Imani dhidi ya Serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…