Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

Duh! Mkuu tupaze sauti apatikane, tusihalalishe kupotea kwake kupitia jukwaa hili. Kwa umoja wetu tupaze sauti apatikane akiwa hai!!! #Free Mziba#
 
Mkuu usipre-empt hatima yake, ni mapema mno bali tupaze sauti zetu kwa ummoja wetu humu ndani ili apatikane akiwa hai! Maana leo ni yeye kesho itakuwa wewe!
Upo sahihi kabisa mkuu, nilitegemea TRA nao wangetoa tamko lako kuhusiana na issue hii, wanapokaa kimya wanaacha vacuum ambao inajazwa na ukweli au uongo
 
Nchi inapitia gizani tangu uteuzi wa kijana yule.
 
Wake za watu hao wamemponza. Yupo humu JF kwa I'd ya mzabzab inayojisifu kwa kutembea na wake za watu na kuwaambukoza UKIMWI kwa Makusudi hapa Jijini Dar. Sasa jamaa wamemteka na wanamfumua Marinda sasa na ndio maana ID hiyo haipo active huki JF. πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€
 
🀣🀣🀣🀣 Aisee kweli hamnitakii mema jamani but why.
 
No mkuu huyu ni wale wazalendo ambao awamu iliyopita angesikilizwa na kuupata ukweli, huyu ni whistle-blower for now hadi TRA waje na story kuhusu hili kwa upande wao, for now TRA wanajua huyu mzalendo yupo wapi
Ramadhani Ntunzwe Mzalendo Mfanyabiashara alililamika kesi kama hii pale Ikulu kwa JPm na Kesi yake ilisimamiwa na PM Majaliwa, RC Makonda na Katibu MKuu kwenye korido za Ikulu na hakuna kilichofanyika.

Ramadhani Ntunzwe anaelezea kwenye clip yake kuwa anashangaa kuona Vigogo wa TRA wana nguvu kubwa na hawagusiki na mtu yeyote.

Naishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…