Subiri chain ya unga itajwe week hii, asipokuwepo basi ndio mumtafute.
Hadi sasa, Taskforce wanamajibu ya kila kitu. Yupo sehemu salama
Kipindi kile angelaumiwa jiwe
Hiyo kampuni inahusika na nini???? Maana vijana wangi wanaanzisha kampuni kama za mr kuku, ukitapeli hela ya mharifu ndiyo hivyo
Mungu atusaidie mkuu, I rest my case mkuu wanguRamadhani Ntunzwe Mzalendo Mfanyabiashara alililamika kesi kama hii pale Ikulu kwa JPm na Kesi yake ilisimamiwa na PM Majaliwa, RC Makonda na Katibu MKuu kwenye korido za Ikulu na hakuna kilichofanyika.
Ramadhani Ntunzwe anaelezea kwenye clip yake kuwa anashangaa kuona Vigogo wa TRA wana nguvu kubwa na hawagusiki na mtu yeyote.
Naishia hapo.
Mlimsema sana jiwe peke yakeCCM ni ile ile hawatofautiani.
Okay kama ndiyo huyu jamaa nimemkubuka. Sad storyHajatapeli. Alitoa clip akiilaumu TRA haitaki kumpa documents Fulani ili akalipwe na Bima. Na alitoa clip hiyo ili Rais wa Nchi aione.
Si Makonda karudi mnashangaa nini?Duh!...utekaji sasa huu
Jamaa hana cheo chochote kikubwa cha kuamuru hilo, yeye ni vuvuzela tu wa Ccm.Si Makonda karudi mnashangaa nini?
jinsi unavyoongea inaonyesha kama unahusika na hili swala. Kwanini sasa kama unataarifa usipeleke polisi? Toka lini hawa wazee wa kodi wanawateka watu taaluma hiyo waitolee wapi? na sababu ni ipi hasa wafanye hivo? acha kupotosha ndugu yangu je unauhakika gani kama ananyumba ndogo? je unauhakika gani kama alikuwa na uhasama na mfanyabiashara/wafanyabishara wenzie? j unauhakika gani ni issue ya kifamilia?je yeye ni wa kwanza kuwasema tra ? mbona wapo wengi tu wanawasema na hatujasikia lolote? ndiyo mimi tra siwamind ila tusiwasingizie maana hakuna ushahidi wa kusema ni wao.Mbona yule mama mnene mweupe aliwasema vibaya mno na yupo nilitegemea basi na yeye angepotea. Acha kukurupuka wapo polisi wataalamu wa kufatilia tuwache wafanye kazi yaoNimebahatika kuona clip ya mzalendo huyu kuhusiana na TRA, sio rocket science, huyu mzalendo ametekwa na TRA, na mbaya zaidi awamu hii nayo hii itakua cold case kama ya yule mzazi aliyefiwa na binti yake pale Lindi shuleni, TRA hasa HQ kuna mtu/watu wanajua mzalendo huyu yupo wapi
Blah blah, police gani hao niwapelekee taarifa?,hadi leo police wako wameshindwa kunipa taarifa nani alihusika kwa kumpiga risasi dada Akwilina na kumuua, viroba vya maiti pale CoCo beach, Azory Gwanda, ajali ya Mtikila, etc etc, elewa ni wajibu wa police kisheria kulinda raia, sasa ninapoona kwa makusudi mazima wao wanalinda royal families tu na kuwaacha poor of the poorest, nawachukia mno, na elewa cases zingine na wao ni suspects, ndio maana ninahitaji katiba mpya itakayounda chombo mbadala cha kuchunguza cases zote ambazo police ni suspects (IPID),endelea kuzika kichwa chako mchanganyi na kujifanya hujui kinachotokea kwa neighbor wakojinsi unavyoongea inaonyesha kama unahusika na hili swala. Kwanini sasa kama unataarifa usipeleke polisi? Toka lini hawa wazee wa kodi wanawateka watu taaluma hiyo waitolee wapi? na sababu ni ipi hasa wafanye hivo? acha kupotosha ndugu yangu je unauhakika gani kama ananyumba ndogo? je unauhakika gani kama alikuwa na uhasama na mfanyabiashara/wafanyabishara wenzie? j unauhakika gani ni issue ya kifamilia?je yeye ni wa kwanza kuwasema tra ? mbona wapo wengi tu wanawasema na hatujasikia lolote? ndiyo mimi tra siwamind ila tusiwasingizie maana hakuna ushahidi wa kusema ni wao.Mbona yule mama mnene mweupe aliwasema vibaya mno na yupo nilitegemea basi na yeye angepotea. Acha kukurupuka wapo polisi wataalamu wa kufatilia tuwache wafanye kazi yao
sasa kama wameshindwa kukupa taarifa za marehemu dada yetu Akilina ( Mungu amlaze pahala pema peponi) na za huyu jamaa unasema ni tra siuwapelekee maana tayari unao ushahidi au tafuta mwanasheria mfungue kesi ya madai kama polisi unaona hawaaminiki.Blah blah, police gani hao niwapelekee taarifa?,hadi leo police wako wameshindwa kunipa taarifa nani alihusika kwa kumpiga risasi dada Akwilina na kumuua, viroba vya maiti pale CoCo beach, Azory Gwanda, ajali ya Mtikila, etc etc, elewa ni wajibu wa police kisheria kulinda raia, sasa ninapoona kwa makusudi mazima wao wanalinda royal families tu na kuwaacha poor of the poorest, nawachukia mno, na elewa cases zingine na wao ni suspects, ndio maana ninahitaji katiba mpya itakayounda chombo mbadala cha kuchunguza cases zote ambazo police ni suspects (IPID),endelea kuzika kichwa chako mchanganyi na kujifanya hujui kinachotokea kwa neighbor wako
sasa mtu kama yupo nyumba ndogo unataka TRA waje waseme nini? kwani umeambiwa au unao ushahidi ni tra ndiyo wamefanya haya? swala la kupotea kwa mtu anayeweza kulizungumzia ni polisi ndiyo kazi yao tra wao ni maswala ya kodi tusichanganye kazi za taasisi mbili tofauti. kwani kuisema tra ndiyo mnaamini kilichofanya apotee? mmejaribu fikiria anamadeni, katapeli, anamwanamke, kasafiri na kapata ajali,. hao tra toka lini wamepata mbinu za utekaji? mtu anaibuka tu na hoja pasipokuwa na ushahidi wowoteUpo sahihi kabisa mkuu, nilitegemea TRA nao wangetoa tamko lako kuhusiana na issue hii, wanapokaa kimya wanaacha vacuum ambao inajazwa na ukweli au uongo
Na mpaka sasa hakuna anayefahamu,sasa mtu kama yupo nyumba ndogo unataka TRA waje waseme nini? kwani umeambiwa au unao ushahidi ni tra ndiyo wamefanya haya? swala la kupotea kwa mtu anayeweza kulizungumzia ni polisi ndiyo kazi yao tra wao ni maswala ya kodi tusichanganye kazi za taasisi mbili tofauti. kwani kuisema tra ndiyo mnaamini kilichofanya apotee? mmejaribu fikiria anamadeni, katapeli, anamwanamke, kasafiri na kapata ajali,. hao tra toka lini wamepata mbinu za utekaji? mtu anaibuka tu na hoja pasipokuwa na ushahidi wowote
Mnaouliza anajihusisha na nini, Hajawahi kujihusisha na biashara haramu. Hana roho hiyo. Ana kampuni ya kutengeneza film. Alianza na Zest films, then mziba investment.Na mpaka sasa hakuna anayefahamu,
Huyu jamaa alikuwa anajishugulisha na biashara gani
Ova
Ohh kumbe anajishugulisha na mambo ya filmMnaouliza anajihusisha na nini, Hajawahi kujihusisha na biashara haramu. Hana roho hiyo. Ana kampuni ya kutengeneza film. Alianza na Zest films, then mziba investment.
Mpaka sasa hajapatikana dahMHuyo kijana mke wake anajua yuko wapi.