Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa huyo si kaishi bongo nasikia mambo yote kuhusu yeye yalianzia hapa so sio ajabu.
Kinyago chetu hakiwezi kututisha.Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania.
Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk.
Sasa ikiwa mtu kama huyu tukaingia kwenye mivutano naye haiwezi kuwa hatari kwetu kutokana na kwamba anajua vingi sana vya kwetu!?
na amesomea UDISM