Museveni responds to Obama on anti-gay bill


hutaki kujitangaza tu !
 
You are the one who have a mental problem, hivi hakuna wanaume wa kiafrika wanaofanya mapenzi na wake zao kinyume na maumbile!?
Tell me the difference if you dont have a mental problem.

nao ni vichaaa sawaa na wewe tu.
 
safi sana museveni hata kama una makosa mengine kwa hili mengine yote yanafunikwa big up
 
If Obama want me to accept homosexual marriage, I should marry him first to show a good example to the whole world. Mugabe said
 
huyu rais dikteta hamna kitu, michezo ya wanasiasa hii, jamaa anatafuta pa kuoshea jina, kwakuwa M23 wamemshinda na hali imekuwa mbaya nchini kwake. mcheki hata sura yenyewe haionyeshi kuchukizwa, sura kama anayeshabikia hivi. na hajui kwa kuizungumza tu anaupromoti. bora angekaa kimya tu na kusaini kimyakimya.hawezi kukabili mabadiliko.urais umekuwa sio mrais tena kwake, umemshinda asepe tu.
angekuwa nyerere ningeweza kumwamini kuwa anamaanisha kwani yule baba wa taifailikuwa kitu kinachomkera alikuwa anatoa fascial expression inyoendana na anavyokichukia, pia hata kwakile anachokipenda alioneysha wazi kupitia body language.
 
Mbona kina Obama na Cameroon mataifa Yao hawasaini sheria mataifa Yao yasiwe maficho ya majizi ya Pesa zetu huku? Wanatushinikiza kuikubari sheria ya kugegedana Lkn Pesa zetu wanazitaka sio?
Wameshajua shida yenu ni kupambana na ushoga tu hamna haja na wezi wa radilimali zenu
 
mwanzoni nilijua obama ana akili lakinileo nimekuja ujiridhisaha na yeye bougous kama walivyo mabougous wengine shame on him na mabougous wote wanaossuport ndoa za jinsia moja
 
Wanajua ndicho kitawafanya mpige makelele muache kufanya vitu vya muhimu huku wao wakitorosha rasilimali nyie mko bize kuwanyoga mashoga.

Ofcourse chi kama Marekani walishamaliza kila kitu, hakuna mijadala ya ujenzi wa shule wala zahanati kule, hakuna mwanasiasa kule anaweza kusimama na kusema nitajenga barabara, maana hakuna ya kujenga zote ni lami, kipaumbele chao ni sera ya mambo ya nje.
 
Homesexuality goes against the laws of the nature

We humans need to breed for the survival of our species

In the long run homosexuality might lead to extinction.
 
Teh Teh Teh!

Ndugu yng Mjuni Lwambo Maandiko yanasema tuzitii mamlaka zilizopo!

Serikali ya Uganda ni mamlaka kamili! Wamepitisha sheria ya adhabu kwa yoyote ile dhidi ya mashoga ni vema kuitii!
Nyie ndiyo mnatumia maandiko vibaya, inamaana watawala wakisema hamuna kusali wote muabudu freemason mtaabudu tu kwa sababu ni mamlaka?
 
If Obama want me to accept homosexual marriage, I should marry him first to show a good example to the whole world. Mugabe said

Mkuu nipe link ya mugabe alipoyasema hayo ili niisave kwa ajili ya wajukuu zangu
 
Na hakuna ufisadi unaoweza fanyika Africa bila hayo madola makubwa Kua nyuma!

Sasa cha kushangaza sheria za ufisadi zinakosa meno mpk kwa hao wafadhili wetu Lkn ushoga ndio wanaukomalia! Jitambue Mjuni Lwambo

Teh Teh Teh Teh
Umeelewa ulichokiandika mkuu?, sheria kuhusu vitu kama ufisadi havijapewa meno, lakini tuko mstari wa mbele kutunga sheria kali kwenye ushoga, huoni kama ni dosari?
 
Nyie ndiyo mnatumia maandiko vibaya, inamaana watawala wakisema hamuna kusali wote muabudu freemason mtaabudu tu kwa sababu ni mamlaka?


Kutii mamlaka Hiyo imo kwenye Maandiko! Mamlaka kwenda kinyume na Mungu hicho ni kitu kingine! Na ujue kwamba hakuna mamlaka iliyo juu ya Mungu!

Ushoga ni kinyume na Mungu! Sasa km serikali Fulani imepitisha sheria ya kuzuia ushoga na kwa Mungu ni jambo jema!
 
Umeelewa ulichokiandika mkuu?, sheria kuhusu vitu kama ufisadi havijapewa meno, lakini tuko mstari wa mbele kutunga sheria kali kwenye ushoga, huoni kama ni dosari?


Na Mimi umekielewa nilichokiandika?
 
Nyie ndiyo mnatumia maandiko vibaya, inamaana watawala wakisema hamuna kusali wote muabudu freemason mtaabudu tu kwa sababu ni mamlaka?

Mjuni declare interest. Wewe ni tende halua halua au!?
 

Tuko pamoko mkulu......hatuwezi kuishi na wa.....se....nge,,,maofisini na mitaani,,,,,natamani na bunge letu lianzishe hii kitu na hapa ipite.......wanakera hawa waliwa makalio hawa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…