Musiba ni Mufilisi kisheria hivyo hapaswi kudaiwa

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.

Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.

My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
 
Hivyo ndivyo unavyo mtetea,kwakuwa ulikuwa mmoja wa wawatumishi wake sio, ajiandae kuuza hata nguo zake, kama kiwanda Cha uchapishaji wavilevinigazeti vyake vilisha pigwa mnada kwa ujinga wake.
 
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo...
Wanaomdai wamekubaliana kwamba ataenda jela na watalipa gharama za chakula na kwamba atapewa kazi za nje za umma za kufagia barabara za Dar Dar na Dodoma, kusafisha vyoo pale Magufuli Terminal, kwenda kufua nguo kwa Membe, kuzibua vyoo na mifereji ya maji machafu...
 
Jifunze kuandika halafu ukajifunze sheria. Huyo jaji aliyetoa hiyo hukumu ni mwehu?
Isije kuwa mwehu ni wewe, ukiwa sehemu ya wale vichaa walioenea wakitanzania wanaotokana na weledi wa kitanzania🏃.
 
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.

Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.

My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
Wale wote waliokuwa wanalalamikiwa wakati wa Mwendazake, wakifanya kinyume na HAKI, sasa umefika wakati wa kulipia maovu yao.

Hata huyu, tukirudi nyuma, tunakutana na POST zako, zikimsifia, zikimpa KICHWA! Na si huyu tu, wale waliokuwa wanawafanyia wenzao uovu kwa ulinzi wa JIWE, wewe hukuwa mbali KUSHABIKIA.

Pamoja na kuwa hatukufahamu kiuhalisia, sina shaka hiki KITANZI CHA HAKI kinakukaribia. Anza kutia maji!
 
Si ana asset Ile iliyofichwa katikati ya Yale mabonde mawili ikizungukwa na vichaka laini kabisa?Tena bado Ni virgin land kabisa.Hio hio awatunuku Wana.
 
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo...
Hana nyumba, hana kiwanja? hana mali isiyohamishika? Kama hivyo ndiyo basi ajiandae kulilipa deni letu katika shughuli za uzalishaji...na sehemu nzuri ni lwenye geleza lenye uzalishaji hasa kilimo na ufugaji.

Tutaiomba mahakama.
 
Kesi za madai kati ya kesi huwa sio mbaya saaaana kimtindo
 
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.

Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.

My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
Too late man, hukumu imeshatolewa. So alipe
 
Back
Top Bottom