Musiba ni Mufilisi kisheria hivyo hapaswi kudaiwa

Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.

Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.

My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
Ngoja nikufundishe Sheria Kilaza wewe! Sheria inasema hivi, ikiwa mtu amehukumiwa ktk kesi ya daawa kulipa fidia ya fedha na akashindwa, basi Mali zake zitakamatwa na kuuzwa ili kulipia fidia anayodaiwa.

Na kama hana Mali, mtu huyo atakamatwa na kufikishwa mahakamani ambapo itaamuliwa atumikie kifungo jela.

Soma kifungu cha 44(1) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya madai (Code of Civil Procedures)
 
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.

Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.

My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
Ametangazwa na mamlaka gani za kisheria kuwa ni muflisi? Je, anayedaiwa ni Kampuni zake au Musiba mwenyewe? Tudadafulie hapo tuelewe!
 
Kama alijisajili Kama mufilisi ni kweli anaweza kukwepa deni hilo
 
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.

Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.

My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
Kuna mahali unafeli Sana wewe bush lawyer na nilishakuambia humu kuwa hujui lolote kumhusu Sheria hukunielewa! Huyu musiba ulikuwa unamtetea Sana humu jf Kwa maovu yake na haiyumkini ni mtu wako wa karibu Sana. Jiandae Kwa lolote kuanzia Sasa kwani atakutaja Kama sabaya alivyowataja wapambe wake!

Hii hoja Yako haina mashiko kwani Kuna taratibu za kufuata na kuzingatia pale kampuni Yako inapokosa uwezo wa kujiendesha kwamba unawasilisha hoja Yako na vielelezo vya kibiashara vya jinsi unavyopata hasara Kwa msajili wa makampuni ili aitangaze kampuni Yako kuwa muflisi na TANGAZO hili lazima liende mahakama ya biashara ndio iidhinishe na kuiweka kampuni Yako chini ya uangalizi maalumu!

Je, musiba alizingatia taratibu hizo? Kama hakuzisingatia basi anasomeka kuwa kampuni yake inafanya vizuri na ndio maana mahakama imetaatisha Kwa hukumu ile! Rudi kwenu Kilolo ukalime njegere kuliko kukaa humu jf na kuishabikia ccm na vijana wa hovyo!
 
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.

Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.

My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.

..inawezekana Musiba ni mwendawazimu.

..mtu timamu hawezi kufanya mambo aliyokuwa akiyafanya Musiba.
 
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.

Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.

My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
Mataga hamuishiwi sababu ata Kwa Sabaya mlituambia hawezi kufungwa,
 
Hajawahi ku file for bankruptcy kwa hiyo hoja yako haina mashiko
 
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.

Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.

My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
Kuna watu mnadhani kwamba sheria inapelekwa pelekwa kilevi. Hamna lolote uliloandika hapo. Umeamua kuvifanyia mazoez vidole vyako na kutukumbusha huyo Musiba wako uliyekua chawa wake.

Na tukuweke wazi tu kwamba kama uchawa wako ulipelekea ukatumwa kufanya us**ge na huyo Musiba baaasi subiri utajwe kama walivyotajwa chawa wa Sabaya.

Ukipona hilo basi kaa kimya na usiandike tena utumbo huku. Pita zako tu kimyakimya ukisoma nyuzi zenye akili walau na ww upatepo kaakili ka kukusaidia japo kuwaza unapata wapi mia.

OVER
 
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.

Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.

My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
Yaani hata vichache alivyo navyo huwenda wakabeba vyote mpaka awe omba omba
 
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.

Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.

My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
Bush lawyer mkubwa wwe,ulizia civil prisoner inakuwaje
 
Back
Top Bottom