Musiba ni Mufilisi kisheria hivyo hapaswi kudaiwa

mataga pori mchangieni kenge wenu alipe deni.
 
Ndo unavyojipa matumaini?
 
Kwanza yuko wapi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kisheria kama umefilisika ni lazma upeleke taarifa zako mahakamani na mahakama ithibitishe hilo, hapo ndo hutadaiwa ila huyo bwana aidhani kama iko hivyo ndio maana ikaamliwa alipe.
 
We bwege kaa kimya.
 
We bwege kaa kimya.
Ndo ivo mkuu, huyo jamaa ikithibitika kafilisika basi kila kitu chake kitauzwa alipe madeni ya watu. Yani ni lazma alipe tuu.
Na bahati mbaya zaidi sheria haijabadilishwa, ko atafilisiwa mpaka abaki na mavazi yenye thamani ya buku tuuu.
 
..hana assets zozote kama nyumba au gari?
Kuna wakili kaeleza kwamba kisheria inatakiwa mali zake ziuzwe kimahakama ,kama hamna hizo mali Sheria zinasema awe anatumikia kifungo kwa miezi 6 mpaka hela itakapopatikana ,kwa miezi 6 tena kama bado haijapatikana anaongezewa 6 tena hivo hivo mpaka deni ilipwe
 
Auze figo basi, kwan wakati anatenda kosa je,wauze nyumba zake
 
Musiba Acha uongo,
 
Hayo mabilioni ni mengi mno hizo assets haziwezi kufidia.
..sio lazima alipe fedha zote alizoamriwa.

..aende mahakamani aka-negotiate jinsi ya kulipa kwa kuzingatia uwezo / ukwasi alionao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…