Musiba ni Mufilisi kisheria hivyo hapaswi kudaiwa

Inawezekana hawakukubaliana kusaidiana kwenye hukumu za aina hii.

..Duh!!

..hiyo ni biashara kichaa, na hufanywa na vichaa.

..baada ya Musiba kupewa yale " makombora, " kabla ya kuyarusha, alitakiwa ajihakikishie kwamba sponsors wake watamlinda hata pale atakapofikishwa mahakamani.
 
Zipo tetesi alikuwa akilipwa pesa nyingi sana akishaachia yale mabomu pia alihakikishiwa usalama wake.

Ila baada ya 'regime' mpya kuingia kazini ule mradi ulikufa na kilichotokea ndio hiki sasa.
 
..inawezekana Musiba ni mwendawazimu.

..mtu timamu hawezi kufanya mambo aliyokuwa akiyafanya Musiba.
Musiba ni muungwana sana sema harakati za kimaisha tu zilimsukuma atukane watu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…