startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Nimekuuliza swali hujajibu! Ili bomu liwe la nuclear linatakiwa liwe na vigezo gani?Hakuna silaha za nyuklia, unacho kiona ni 500 Tons of TNT being set off, ndipo huunda wingu kama uyoga.
Kuhusu Hiroshima, hazikuwa nuclear, ndyomaana hakuna mchimbuko wa ardhi zaidi ya moto uliokuwa unasambaa kwa kasi.
Everything we have been told is a lie........
Na usisahau kutwambia pia ulijuaje hivyo vigezo! Na kwenye zile nuclear power plant ni za kweli au nazo mchongo tu!