Musiogope, silaha za nyuklia hazitatumika kwenye vita zinazoendelea sasa

Hakuna silaha za nyuklia, unacho kiona ni 500 Tons of TNT being set off, ndipo huunda wingu kama uyoga.

Kuhusu Hiroshima, hazikuwa nuclear, ndyomaana hakuna mchimbuko wa ardhi zaidi ya moto uliokuwa unasambaa kwa kasi.

Everything we have been told is a lie........
Nimekuuliza swali hujajibu! Ili bomu liwe la nuclear linatakiwa liwe na vigezo gani?
Na usisahau kutwambia pia ulijuaje hivyo vigezo! Na kwenye zile nuclear power plant ni za kweli au nazo mchongo tu!
 
Kinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi ya mataifa kutumia silaha za nuclear.

Nataka kuwatoa hofu hizo silaha hazitatumika kwenye hizi vita zinazoondelea ulimwenguni sasa. Viongozi hao wanatishia tu.

Ukweli ni kwamba silaha hizo zitatumika kipindi cha vita ya tatu ya dunia. Hii vita haiko mbali Sana. Ni siku za usoni Sana. Inaweza isifike miaka 10 Ijayo. Sasahivi Mungu anazuia matumizi ya nuclear kutupa muda wanadamu tuache uovu.

Kipindi cha vita ya tatu ya dunia kutakuwa na hali mbaya Sana duniani. Usalama hautakuwepo kwa kila mwanadamu ulimwenguni.
Mkuu vita vya 3 ni tofauti na vita vya harmagedon?
 
Awe ndio msemaji wa Allah? Au umepewa ufunuo kama nabii Yohana
 
Vita ya tatu ya dunia kwa watu dhaifu waarabu?Acha kuweweseka.
 
Nimekuuliza swali hujajibu! Ili bomu liwe la nuclear linatakiwa liwe na vigezo gani?
Na usisahau kutwambia pia ulijuaje hivyo vigezo! Na kwenye zile nuclear power plant ni za kweli au nazo mchongo tu!
Nuclear power point Ni kweli zipo, lakini nuclear bom hazijawahi kuwepo kwani hakuna anayetaka kuharibu uso wa dunia.

Tatzo labda bdo hujajua lengo kuu la globalists, wanataka wabaki wachache, watumie mali asili kwa manufaa yao, hawana nia ya kuharibu dunia kiasi cha kutumia mabomu ya nuclear.
 
Yaani waarabu na waajemi wasababishe vita ya tatu ya Dunia hiyo ni ndoto,
Trust me kadri kasi ya maendeleo ya tech yanavyokua binadamu tunazidi kuungana kuliko kutengana angalia mfano tu P diddy tukio lake limefanya Dunia iwe ndogo kila mahali pande za Dunia amekua memes
Na kusababisha binadamu tujadili hilo swala sembuse litokee tukio la kujaribu kuharibu Dunia hakuna watu vichaa wala timamu watakubali

Hizo vita baridi za wajinga wa middle east wanaotumia mihemko kuanzishiana choko choko hata hazitustui ndio maana tunawazoom tu watwangane atakayeshinda atachukua kombe!
😁😁
 
Back
Top Bottom