startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Nimekuuliza swali hujajibu! Ili bomu liwe la nuclear linatakiwa liwe na vigezo gani?Hakuna silaha za nyuklia, unacho kiona ni 500 Tons of TNT being set off, ndipo huunda wingu kama uyoga.
Kuhusu Hiroshima, hazikuwa nuclear, ndyomaana hakuna mchimbuko wa ardhi zaidi ya moto uliokuwa unasambaa kwa kasi.
Everything we have been told is a lie........
Mkuu vita vya 3 ni tofauti na vita vya harmagedon?Kinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi ya mataifa kutumia silaha za nuclear.
Nataka kuwatoa hofu hizo silaha hazitatumika kwenye hizi vita zinazoondelea ulimwenguni sasa. Viongozi hao wanatishia tu.
Ukweli ni kwamba silaha hizo zitatumika kipindi cha vita ya tatu ya dunia. Hii vita haiko mbali Sana. Ni siku za usoni Sana. Inaweza isifike miaka 10 Ijayo. Sasahivi Mungu anazuia matumizi ya nuclear kutupa muda wanadamu tuache uovu.
Kipindi cha vita ya tatu ya dunia kutakuwa na hali mbaya Sana duniani. Usalama hautakuwepo kwa kila mwanadamu ulimwenguni.
Awe ndio msemaji wa Allah? Au umepewa ufunuo kama nabii YohanaKinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi ya mataifa kutumia silaha za nuclear.
Nataka kuwatoa hofu hizo silaha hazitatumika kwenye hizi vita zinazoondelea ulimwenguni sasa. Viongozi hao wanatishia tu.
Ukweli ni kwamba silaha hizo zitatumika kipindi cha vita ya tatu ya dunia. Hii vita haiko mbali Sana. Ni siku za usoni Sana. Inaweza isifike miaka 10 Ijayo. Sasahivi Mungu anazuia matumizi ya nuclear kutupa muda wanadamu tuache uovu.
Kipindi cha vita ya tatu ya dunia kutakuwa na hali mbaya Sana duniani. Usalama hautakuwepo kwa kila mwanadamu ulimwenguni.
Vita ya tatu ya dunia kwa watu dhaifu waarabu?Acha kuweweseka.Kinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi ya mataifa kutumia silaha za nuclear.
Nataka kuwatoa hofu hizo silaha hazitatumika kwenye hizi vita zinazoondelea ulimwenguni sasa. Viongozi hao wanatishia tu.
Ukweli ni kwamba silaha hizo zitatumika kipindi cha vita ya tatu ya dunia. Hii vita haiko mbali Sana. Ni siku za usoni Sana. Inaweza isifike miaka 10 Ijayo. Sasahivi Mungu anazuia matumizi ya nuclear kutupa muda wanadamu tuache uovu.
Kipindi cha vita ya tatu ya dunia kutakuwa na hali mbaya Sana duniani. Usalama hautakuwepo kwa kila mwanadamu ulimwenguni.
Nuclear power point Ni kweli zipo, lakini nuclear bom hazijawahi kuwepo kwani hakuna anayetaka kuharibu uso wa dunia.Nimekuuliza swali hujajibu! Ili bomu liwe la nuclear linatakiwa liwe na vigezo gani?
Na usisahau kutwambia pia ulijuaje hivyo vigezo! Na kwenye zile nuclear power plant ni za kweli au nazo mchongo tu!