ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Kinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi ya mataifa kutumia silaha za nuclear.
Nataka kuwatoa hofu hizo silaha hazitatumika kwenye hizi vita zinazoondelea ulimwenguni sasa. Viongozi hao wanatishia tu.
Ukweli ni kwamba silaha hizo zitatumika kipindi cha vita ya tatu ya dunia. Hii vita haiko mbali Sana. Ni siku za usoni Sana. Inaweza isifike miaka 10 Ijayo. Sasahivi Mungu anazuia matumizi ya nuclear kutupa muda wanadamu tuache uovu.
Kipindi cha vita ya tatu ya dunia kutakuwa na hali mbaya Sana duniani. Usalama hautakuwepo kwa kila mwanadamu ulimwenguni.