Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Kwa hiyo wasanii wanini kwenye kampeni kama siyo kuvuta watu, nyomi?! Ndo maana nakuambia kiwango chako bado! Ujinga wa Polepole hufiki Hata robo!
Halafu unakuta anapiga kelele kumshabikia Magufuli utadhani nae huwa anaenda kunywa chai ikulu,kumbe anaishi maisha yaleyale tunayoishi sisi,maisha mabovu,kazi kupiga mizinga tu mitaani.
 
..tungekuwa na uhuru wa kisiasa Alphonce Mawazo, Ben Saanane, Aquilina Akwilini, na wengine wasingeuwawa.

..Na Tundu Lissu asingeshambuliwa kwa marisasi ktk eneo linalolindwa serikali, na asingenyimwa matibabu na bunge.
Wacha porojo usizo zijua ndugu
 
Hapo ni mwitongo Lodge sio nyumbani kwa nyerere, hiyo hotel inamilikiwa na madaraka na neema,
 
Hapo ni mwitongo Lodge sio nyumbani kwa nyerere, hiyo hotel inamilikiwa na madaraka na neema,
 
Hapo ni mwitongo Lodge sio nyumbani kwa nyerere, hiyo hotel inamilikiwa na madaraka na neema,
 
Taifa limeingizwa kwenye historia ya ajabu na ya aibu sana.
 
Kwa 'Heshima' Kubwa tu waliyokuwa nayo 'Marais' wote wa Tanzania hadi huyu Dkt. JPM sikutegemea kuuona 'Unafiki' huu wa Madaraka Nyerere.
Hii ndo tz tunayotaka mkuu ,mbona hili ni Jambo zuri ,tz tunaitaji umoja na upendo ,tunakuza maneno ila kwa wlichokifanya familia ya mwalim wako sawa kabisa,kwa nini tunafika mahala kwamba kwamba nikiwa na mtazamo tofauti kisiasa sitakiwi kua karibu na mtu mwingine ambae yupo na mtazamo kitofauti? Hii sio sawa ,tunataka siku moja lissu akiwa chato Basi hata aweze lala kwa jpm na jpm akiwa singida aweze Lela kwa lissu ,kwa nini tunaona kumkaribisha lissu na familia ya mwalim ni dhambi,?
Mwalim alipigania Uhuru wa taifa hili kutoka kwa mkoloni kwa ajili ya watanzania wote Wala haikua katika msingi wa mavyama ,Sasa tatizo Nini hapa
 
Lissu anawatoa watu jasho. Yule Mzee Kijana anazidi kuharibika tu sura kwa stress. Anajua Lissu anamuharibia kazi! Mungu azidi kukulinda Mh Lissu.
ana sura ya sokwe mzee kijana ..kazi nikwake sasa
 
Atubu,kwani alishawahi kusema kuwa "Nyerere alizoea kuishi kwa uongo" hii karma itatamtafuna bila kumbakiza
Akiitisha tena press conference usikose kushiriki na muulize hilo swali usikie atakavyokufafanulia na kukudadavulia na utaondoka na roho yako imesuzuka!!
 
Muda si mrefu utasikia familia inatumika na mabeberu
 
Ni kweli mkuu lakini kuna ibilisi mmoja sijui katoka wapi anatugawa Watanzania kidinj kikabila, kiitikadi, kikanda n.k
Hata mtu akiunwa eti Wana CCM hawaruhusiwi kwenda kumuona
Sidhani kama ni wa kwetu inasemekana ni muhutu
 
Magufuli ni mtu katiri Sana yeye kwake hilo anaona Kama atakufa usiku huo huo, hajui kuwa upinzani ni swala la kikatiba Kama vile mtu anavyoruhusiwa kuwa mshabiki wa azam, yeeye kwake Nikuwa ukiwa Simba hutakiwi kukaaa hata jirani na shabiki wa yanga Au azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…