Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Walimpiga Mawe, wapongeze pia kwa hiloWakati wa bunge la katiba Tundu Lisu alimnenea maneno makali baba wa taifa na wengi tulikasirishwa lakini juzi kati Lisu amelala nyumbani kwa baba wa taifa na kula chakula.
Jana wananchi wa Chato wamempokea kwa Upendo Tundu Lisu licha ya kuwanenea maneno yasiyofaa kuhusu maendeleo yao.
Maeneo mengine kama kule chunya wangeweza kumpopoa kama walivyomfanyia JK.
Yesu alisema msiwatendee mabaya wale wanaowaudhi, Mungu awabariki wana Butiama na Chato.
Maendeleo hayana vyama!