Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Walimpiga Mawe, wapongeze pia kwa hilo
 
Mbona baadhi ya wanaCCM walimpiga mawe jana? Unafiki haufai.
 
Wewe ni wa kuhurumiwa tu
 
 

Attachments

  • Facebook 2822304441339649(240p)_1.mp4
    8.1 MB
ninyi watu wa fisiemu mtandaoni ndio mlitafsiri jinsi mlivyotaka ninyi, ila uhalisa wake wananchi waliuelewa ndio maana akapata mapokezi huko. acheni propaganda. yaani nimbake mkeo afu kesho kutwa unipokee nyumbani kwako? sio dunia hii
Hawahawa wanaCCM wa mtandaoni walitaabiri kuwa Lissu hatapokelewa Chato. Lakini nyomi yenye bashasha iliyompokea imewatia aibu.
 

Wanawake mnatuangusha buku tano tano zinawadharirisha kwenye mvua..
 
Unaongelea wahuni wasiozidi 20 huku maelfu wakimsubiri na kumsikiliza?
Lisu anapendwa sana hapa chato na sio huyo mgombea wako katili
 
Mtoa hoja unajitambulisha kama mchaMungu lakini unawezaje basi kuwatetea watu waliompiga risasi Lissu huku wakisema sijaleta maendeleo kwavile mlichagua upinzani nk.uwe makini unajitambulisha na waovu
.Yesu hachukulii poa
 
Lissu ni msema ukweli hata ukikasirika au ukamchukia. Alichosema kuhusu Nyerere alikuwa sahihi hata kama wewe unamuona Nyerere kama mungu wako
 

..Maprofesa walisema tunawadai Barrick usd 191 billion.

..sasa leo tunafanya sherehe kupokea usd 40 million.

..hebu fanyeni hesabu: 191, 000, 000, 000 gawanya kwa 40, 000, 000.

..Kwanini viongozi wetu wamelainika kiasi hiki?

..Wamekula RUSHWA kiasi gani? Kwanini MABEBERU wa Barrick wameanza kuwasifia?
 
Hata Kama huta wapingeza wenyewe ni watu wanaojitambua ndio maana unaona yanayotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…